Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Wakuu,
Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi.
Yani imefikia kipindi viongozi wanapata majanga badala wananchi wasikitike wanafurahi na kutaka kujua wangapi wametangulia kwa baba kuandaa makao.
Wafanyakazi wa TRA walovamiwa na kupigwa mawe hakuna mwananchi aliyeonesha kusikitishwa zaidi walitamani hata waliorusha mawe wangechoma gari moto ili waliokuwamo wateketee.
Hiki kitu kinaonesha ni hasira kiasi gani wananchi walionayo dhidi ya watu wa Serikali.
Halafu hao hao viongozi wakirudi kwenye majimbo yao wanashinda kwa 99% sasa unajiuliza walichaguliwa na mizimu🤔
My take: Ningekuwa kiongozi wa serikali ningestaafu na kumrudia Mungu.