Je ni kwanini billionea chriss kirubu & safaricom ceo walikataa mwaliko wa kuonana na obama tanzania

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,093
Reaction score
7,229
Katika ziara ya Rais wa Marekani , Mh. OBAMA miongoni mwa ratiba zake ilikuwa ni kuonana na wafanyabiashara mbali mbali wa kiafrika. Na hakika alifanikiwa kuonana nao wakiwemo baadhi ya wafanya biashara wetu wakubwa kama Bwana Bahkresa, Regnard Mengi, Mafuruki na wengineo wengi tu.
Hoja yangu inajikita kwa watu wawili , yaani : mfanya biashara mkubwa na bilionea wa Kenya Bwana Chriss Kirubi na Mkurugenzi wa SAFARICOM (SAFARICOM CEO, bwana . Bob Collymore) walikataa kuja kuonana na Mh. OBAMA licha ya kuwa walipewa mwaliko rasmi tena mapeeema,(chanzo cha habari: K24 TV -Evening Edition session ,& Gazeti la kenya DAILY POST la 26th June,2013) , sasa je tukiwa kama watu amabao tunategemea siku moja nchi za Afrika na hasa Afrika mashariki tupige hatua kimaendeleo , je ni sahihi kwa kitendo walichokifanya hawa mabwana wawili ?? au tunapata tafsri gani vichwani mwetu?? je walijua mapeema kuwa ni kitu gani watajadili na matokeo yake ni nini? au ni dharau waliyotaka kumonesha OBAMA na waliowaalika? naombeni msaada wa mawazo juu ya kitendo chao na matokeo yake.
 

vipi mbona ukiandika 'obama' unaandika in CAPITAL LETTERS
 
vipi mbona ukiandika 'obama' unaandika in CAPITAL LETTERS

Je, umeelewa hoja iliyowasilishwa hapo? naona unaaanza kubuni maudhui yako mengine ya jina la OBAMA kuwa na herufi kubwa, tafdhali mkuu nakuomba "back to square A"
 
hahhaahahhah!!!!!!!!!! VERY SIMPLE THEORY ILITUMIKA YA MASKINI JEURI"

Mimi sishangai amanake hata Kenyatta aligomea kuja Tanzania
 
wampeleke kenyatta icc ndo obama ataenda kenya.
 
Chriss kirubi ndio nani???mimi namjua bakheresa,mengi etc hawa wananitosha mie hata sikunotice hata kutokuepo kwao,wakenya ndio kawaida yao kwa wivu wa kike
 
View attachment 100978tutaona mengi kwani Kenya sio rafiki au mshirika wetu kabisa
sisi WaTZ tunajipendekeza sana kwa haya MANYANG'AU ifikie kipindi tuseme NO na huyo Kenyatta apelekwe The Hague kumbe anakaKiburi,
wao OBAMA kuja kwetu imekuwa nongwa na wivuwa JIKONI?????
 
Bana wacha kujisumbua na wakenya. Wao Obama wanamwona kama Mungu wao, sasa kitendo cha kutokanyaga ardhi yao imekuwa kama dharau kwao, no wonder nao wakachomoa kuja. But kama jamaa alivyosema hapo juu Barkhressa, Mengi ndo mpango mzima.
 
naombeni msaada wa mawazo juu ya kitendo chao na matokeo yake.[/QUOTE]

Tatizo ni raisi anayependa kujipendekeza
 
1. Utajiri wake ni wa kifisadi.

''.....Kirubi's big break came during his stint as manager with Kenya National Transport Company (Kenatco). This was a State parastatal established in the 1970s to offer logistical solutions to Kenya and the neighbouring countries of Uganda, Congo, Sudan, Burundi and Rwanda.

Kenatco was, however, transformed into a smuggling network by a group of politically-connected individuals in President Jomo Kenyatta's inner circle."....The period between 1975 and 1976 provided a peak in smuggling after coffee market prices were spiked by frost that affected Brazil coffee. Smuggling hit fever-pitch as Kenyans jostled for coffee beans in the region – with Kenatco transport network becoming the centrepiece of the illegal operations.

Kirubi is alleged to have emerged from Kenatco a millionaire although the reason he attracted attention was not the alleged financial transformation but the foundering of the parastatal.
Kenatco was placed under receivership in February 1996, after it failed to service its loans and meet other financial obligations due to mismanagement. The genesis of its problems was a Sh22.4 million loan it was advanced by Industrial and Commercial Development Corporation (ICDC), ironically also owned by the State.
The loan was meant buy new vehicles to revitalise Kenatco's fleet but by June 2008 the debt had skyrocketed to Sh368 million, despite the struggling company having paid back Sh26.3 million. It was against this background that ICDC appointed a receiver manager to run the company.
Kenatco, which once held great promise, has now made history as the only State-owned corporation which has been under receivership for a record 16 years, exposing it to plunder and mismanagement.
At one point, Parliament was told of how some of its expensive Mercedes limousines were sold for a paltry Sh500. Kirubi was mentioned as one of the managers who had contributed to running down the company.

2. Hana mke na ni malaya

".....
70-year-old bachelor who struts around the city in Italian designer suits with girls young enough to be his grandchildren....."



Kwa habari zaidi soma hapa...
Allegations Of Capital FM's Chris Kirubi's Corruption Scandals Surface! Read The Shocking Story Here! | Ghafla!Kenya

 
Bana wacha kujisumbua na wakenya. Wao Obama wanamwona kama Mungu wao, sasa kitendo cha kutokanyaga ardhi yao imekuwa kama dharau kwao, no wonder nao wakachomoa kuja. But kama jamaa alivyosema hapo juu Barkhressa, Mengi ndo mpango mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…