MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Katika ziara ya Rais wa Marekani , Mh. OBAMA miongoni mwa ratiba zake ilikuwa ni kuonana na wafanyabiashara mbali mbali wa kiafrika. Na hakika alifanikiwa kuonana nao wakiwemo baadhi ya wafanya biashara wetu wakubwa kama Bwana Bahkresa, Regnard Mengi, Mafuruki na wengineo wengi tu.
Hoja yangu inajikita kwa watu wawili , yaani : mfanya biashara mkubwa na bilionea wa Kenya Bwana Chriss Kirubi na Mkurugenzi wa SAFARICOM (SAFARICOM CEO, bwana . Bob Collymore) walikataa kuja kuonana na Mh. OBAMA licha ya kuwa walipewa mwaliko rasmi tena mapeeema,(chanzo cha habari: K24 TV -Evening Edition session ,& Gazeti la kenya DAILY POST la 26th June,2013) , sasa je tukiwa kama watu amabao tunategemea siku moja nchi za Afrika na hasa Afrika mashariki tupige hatua kimaendeleo , je ni sahihi kwa kitendo walichokifanya hawa mabwana wawili ?? au tunapata tafsri gani vichwani mwetu?? je walijua mapeema kuwa ni kitu gani watajadili na matokeo yake ni nini? au ni dharau waliyotaka kumonesha OBAMA na waliowaalika? naombeni msaada wa mawazo juu ya kitendo chao na matokeo yake.