FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Najua kinauhai, kwanini chenye uhai hakiozi
Kwahiyo maiti isipokuwa na kidonda haiozi?Hatuozi sababu mwili unajisimamia wenyewe unapokua hai yaan ni Kama Kuna wafanya kazi kwenye mwili wako kukitokea kidonda tu wanaanza kazi ya kuulinda mwili.. the way mwili ulivyo unajirepair wenye km upo hai hauwezi kuoza sababu lazima repair ifanyike
Hujaelewa Mzee maiti haina uhai ni kitu mfu au tuseme mtu mfu ukifa wewe na watendaji ndani ya mwili wako wanakufa umeme unazima mitambo inazima damu inaganda basi unageuka chakula cha funza na watakutafuna mpaka watalamba mifupa yako na kubakia fuvu tupuKwahiyo maiti isipokuwa na kidonda haiozi?
Wewe ni Professor nani?Naona akina Professor Mruma wanajibu watakavyo wao tu. Jibu hapa ni moja tu, Mzunguko wa damu ndo kila kitu. Japo kuna wakati inafika unaweza ukaoza vile vile baadhi ya sehemu kutokana na hitilafu za kiafya.
Kwanini wanashindwa kutafuna damu ikiwa haijaganda?Hujaelewa Mzee maiti haina uhai ni kitu mfu au tuseme mtu mfu ukifa wewe na watendaji ndani ya mwili wako wanakufa umeme unazima mitambo inazima damu inaganda basi unageuka chakula cha funza na watakutafuna mpaka watalamba mifupa yako na kubakia fuvu tupu
Jibu ni simple and clear, nilipoukiza sio kwamba sijui , ila niliuliza tu. Ni hivi..Wote wamekupa kamba,According to anatomy
Mwili ukiwa hai unasupply damu,Mzunguko wa damu mwilini husababisha joto la mwili na pia inaupa mwili unyevunyevu..Mirija ya damu husafirisha nutrients na pia huongeza Jasho kwenye ngozi.Jasho linasaidia kuweka mwili kwenye hali ya unyevunyevu..Ukifa sasa damu inaacha kutembea So mwili unakosa joto unakuwa baridii na ngozi inakosa jasho inakaukaa na hatimae cell zinakufa zote na mwili kuoza......
Ni kama mmea ukiukata.means umesitisha mzunguko wa nutrients&maji ndani ya mmea kwahyo lazima utakaukaa
Kumbe unajua ila unatupima??Jibu ni simple and clear, nilipoukiza sio kwamba sijui , ila niliuliza tu. Ni hivi..
Mwili huoza kwa njia mbili
1.) Internally driven decomposition (kuoza kutokea ndani)
2.) Externally driven decomposition (kuoza kwa vyanzo vya nje
Kwa hiyo ya kwanza, Mwili unapokuwa hai, damu huzunguka sehemu mbali mbali za mwili na kupeleka hewa ya oxygen pamoja na virutubisho, ila muhimu zaidi huondoa hewa ya Carbon dioxide, mtu akifa, process hii husimama, na hivyo Carbondioxide hubakixkwenye zile seli za mwili na kuwa ‘Acidic’ (tindikali) , tindikali hii huzipasua seli za mwili na kuzivunjq vunja, na kwa njia hii mwili huoza.
Kwa hiyo ya pili, mwili uliohai na damu inazunguka, hujikinda dhidi ya bacteria wanaotaka kuutafuna mwili kupitia walinzi (mfano white blood cells) ndani ya damu, sasa mtu akifa, hawa walinzi na hufa na bacteria wa nje wanapata kujilia kwa urahisi kabisa na kuozesha mwili.