Je, ni kwanini kitu kilichohai hakiozi?

Je, ni kwanini kitu kilichohai hakiozi?

Being alive means a lot!.. means protecting,so body can protect itself that why you cannot decay.
When you think deeply life it's a system which has intelligent and connection!.. plants doesn't look like us but we're family! There's connection between us and plants... The intelligent of life knows there is dangerous that why it's protecting itself!..

Human we are very lucky creatures coz we are intelligent,we feel life and we explore about it also we understand it!
I think we have the mission to do with life but sadly we still growing up, time isn't a problem the problem is we are not matured enough!!!!😅
 
Hatuozi sababu mwili unajisimamia wenyewe unapokua hai yaan ni Kama Kuna wafanya kazi kwenye mwili wako kukitokea kidonda tu wanaanza kazi ya kuulinda mwili.. the way mwili ulivyo unajirepair wenye km upo hai hauwezi kuoza sababu lazima repair ifanyike
 
Kwahiyo maiti isipokuwa na kidonda haiozi?
 
Naona akina Professor Mruma wanajibu watakavyo wao tu (utani). Jibu hapa ni moja tu, Mzunguko wa damu ndo kila kitu. Japo kuna wakati inafika unaweza ukaoza vile vile baadhi ya sehemu kutokana na hitilafu za kiafya.
 
Kwahiyo maiti isipokuwa na kidonda haiozi?
Hujaelewa Mzee maiti haina uhai ni kitu mfu au tuseme mtu mfu ukifa wewe na watendaji ndani ya mwili wako wanakufa umeme unazima mitambo inazima damu inaganda basi unageuka chakula cha funza na watakutafuna mpaka watalamba mifupa yako na kubakia fuvu tupu
 
Naona akina Professor Mruma wanajibu watakavyo wao tu. Jibu hapa ni moja tu, Mzunguko wa damu ndo kila kitu. Japo kuna wakati inafika unaweza ukaoza vile vile baadhi ya sehemu kutokana na hitilafu za kiafya.
Wewe ni Professor nani?
 
Wote wamekupa kamba,According to anatomy

Mwili ukiwa hai unasupply damu,Mzunguko wa damu mwilini husababisha joto la mwili na pia inaupa mwili unyevunyevu..Mirija ya damu husafirisha nutrients na pia huongeza Jasho kwenye ngozi.Jasho linasaidia kuweka mwili kwenye hali ya unyevunyevu..Ukifa sasa damu inaacha kutembea So mwili unakosa joto unakuwa baridii na ngozi inakosa jasho inakaukaa na hatimae cell zinakufa zote na mwili kuoza......

Ni kama mmea ukiukata.means umesitisha mzunguko wa nutrients&maji ndani ya mmea kwahyo lazima utakaukaa
 
Hujaelewa Mzee maiti haina uhai ni kitu mfu au tuseme mtu mfu ukifa wewe na watendaji ndani ya mwili wako wanakufa umeme unazima mitambo inazima damu inaganda basi unageuka chakula cha funza na watakutafuna mpaka watalamba mifupa yako na kubakia fuvu tupu
Kwanini wanashindwa kutafuna damu ikiwa haijaganda?
 
Wote wamekupa kamba,According to anatomy

Mwili ukiwa hai unasupply damu,Mzunguko wa damu mwilini husababisha joto la mwili na pia inaupa mwili unyevunyevu..Mirija ya damu husafirisha nutrients na pia huongeza Jasho kwenye ngozi.Jasho linasaidia kuweka mwili kwenye hali ya unyevunyevu..Ukifa sasa damu inaacha kutembea So mwili unakosa joto unakuwa baridii na ngozi inakosa jasho inakaukaa na hatimae cell zinakufa zote na mwili kuoza......

Ni kama mmea ukiukata.means umesitisha mzunguko wa nutrients&maji ndani ya mmea kwahyo lazima utakaukaa
Jibu ni simple and clear, nilipoukiza sio kwamba sijui , ila niliuliza tu. Ni hivi..

Mwili huoza kwa njia mbili

1.) Internally driven decomposition (kuoza kutokea ndani)

2.) Externally driven decomposition (kuoza kwa vyanzo vya nje

Kwa hiyo ya kwanza, Mwili unapokuwa hai, damu huzunguka sehemu mbali mbali za mwili na kupeleka hewa ya oxygen pamoja na virutubisho, ila muhimu zaidi huondoa hewa ya Carbon dioxide, mtu akifa, process hii husimama, na hivyo Carbondioxide hubakixkwenye zile seli za mwili na kuwa ‘Acidic’ (tindikali) , tindikali hii huzipasua seli za mwili na kuzivunjq vunja, na kwa njia hii mwili huoza.

Kwa hiyo ya pili, mwili uliohai na damu inazunguka, hujikinda dhidi ya bacteria wanaotaka kuutafuna mwili kupitia walinzi (mfano white blood cells) ndani ya damu, sasa mtu akifa, hawa walinzi na hufa na bacteria wa nje wanapata kujilia kwa urahisi kabisa na kuozesha mwili.
 
Kumbe unajua ila unatupima??

Kenge kabisa
 
Back
Top Bottom