FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Huwa tunashuhudia makampuni yakipewa kandarasi za kufagia barabara na kusafisha mitaro kwa malipo maalum. Sasa je, ni kipi kinachoshindikana kwa beach mbali mbali hapa jijini Dar hadi ambazo zinajaa matakataka ya plastiki yanayosukumwa na maji toka baharini?