Je, ni kwanini manispaa hazina vitengo maalum vya kusafisha beach kama ilivyo kwa barabara?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Huwa tunashuhudia makampuni yakipewa kandarasi za kufagia barabara na kusafisha mitaro kwa malipo maalum. Sasa je, ni kipi kinachoshindikana kwa beach mbali mbali hapa jijini Dar hadi ambazo zinajaa matakataka ya plastiki yanayosukumwa na maji toka baharini?
 
Hizo beach zitusamehe kwa sasa maana tupo busy na lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…