Je, ni kwanini Mawaziri ndio wanaohaha katika mikoa wakati wapo Wakuu wa Mikoa?

Je, ni kwanini Mawaziri ndio wanaohaha katika mikoa wakati wapo Wakuu wa Mikoa?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Jamani sijuwi kama kuna anaye ona kwa sasa mawaziri ndio wanagunduwa mauwozo kwenye mikoa na kufanya ziara nyingi wakati yupo mkuu wa mkoa RSO, RPC wakuu wa wilaya nakamati ya ulinz na usalama hii sioni kama ni afya kwa mikoa yetu alafu why jambo linaitaji support ya mkuu wamkoa anairushia wizara mm nadhan hapa Rais aliangalie otherwise Mawazir wana kaz kubwa zaidi ya hii wanafanya.

Mfano issue ya Nida hivi kweli waziri amesema nida wafanye kazi mpaka hata masaa 24 why mkuu wamkoa na mkuu wa wilaya nakamat zao wasisimamie mpaka waziri aje kuzungukia agizo lake?

Pili wafanyakaz hawatoshi yani kweli RC akishirikiana na taasisi nyingine ambazo zipo chini ya wizara ya mambo yandani wanashindwa ku re allocate staff temporal mpaka watu watoke dar au waajiriwe? This is a shame.

Nilitegemea sehem yeyote waziri akipita nakukuta dosari mkuu wa wilaya namkoa watafutiwe kazi nyingine hii ingeongeza uwajibikaji.
end
 
Is it because of incompetence? Au ndio mambo ya mazoea maana mshahara upo tu hata kama deliverables haonekani?
 
Hata mimi huwa najiuliza. RC yupo; DC yupo mpaka Waziri anatoka alikokuwa anagundua NiDA wana ID ziko printed na number ziko tayari; hao waliopo Wilayani na Mkoani wanafanya nini??

Au wanafaidika na hao subordinates wao??

Hata kwenye malalamiko ya ardhi, kudhulimiwa viwanja kuna wakati Mpaka JPM ua Majalawa wanafika; unawaza, kwanini Ma-RC na Ma-DC hawakuwa wame-solve.

Uzuri wa kazi za wateuliwa na public servants uki-deliver au hata usipo-deliver mwisho wa mwezi a/c inasoma muamala.

I propose kuna wakati baadhi ya kazi watu wapimwe on deliverables
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi sema humu wateule wengi wa Rais wanamuangusha sababu wengi waliteuliwa sababu tu walishindwa kura za maoni ndani ya CCM kabla ya uchaguzi wa 2015. Wengi wao hawakuteuliwa kwa kuwa na uwezo wa kuwa viongozi.Ila ni sababu Mh labda alikuwa hajui historia zao vizuri. Lakini next round mambo yataenda vizuri.Sababu wengi ameshawasoma hasa anapofanya ziara zake.
 
Wataonekanaje kwenye TV kuwa wanafanya kazi bila kumuweka mtu mbuzi ya kafara ? Hata kama ni uongo, wao wanachotaka ni kuonekana kwenye TV tu. Ukichunguza hayo unayoita uozo utakuta hakuna kitu . mark my words.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wa Mikoa wenyewe taipu ya John Mangela wa Mwanza walishajichokea wapo wapo tu kwa majina ya mama zao unategemea nini?
 
Kwani we huoni ni kwanini nyie msiojulikana mliamua kumpoteza BEN SAANANE kisa kahoji elimu ya jiwe Badala ya wahadhiri kutolea ufafanuzi wa PHd ya jiwe kama ni halali au laa????Kwanini mliingilia majukumu ya wahadhiri kwa kumpoteza mhoji wa elimu?????????!!!!
 
Pia ndugu Tumain El ungejiuliza hv kwanini Raisi anaweka jiwe la msingi la ujenzi wa sekondari wakati hata diwani,mkuu wa wilaya au mkoa au katibu tawala angefanya hayo???!!!!!
 
Hata mimi huwa najiuliza. RC yupo; DC yupo mpaka Waziri anatoka alikokuwa anagundua NiDA wana ID ziko printed na number ziko tayari; hao waliopo Wilayani na Mkoani wanafanya nini??

Au wanafaidika na hao subordinates wao??

Hata kwenye malalamiko ya ardhi, kudhulimiwa viwanja kuna wakati Mpaka JPM ua Majalawa wanafika; unawaza, kwanini Ma-RC na Ma-DC hawakuwa wame-solve.

Uzuri wa kazi za wateuliwa na public servants uki-deliver au hata usipo-deliver mwisho wa mwezi a/c inasoma muamala.

I propose kuna wakati baadhi ya kazi watu wapimwe on deliverables

Sent using Jamii Forums mobile app

Wengi ndio wale wamepata nafasi hizo sababu "tunawajua". Sio sababu wana uwezo kiasi gani wa kusukuma maendeleo yetu mbele, I guess
 
Pia ungejiuliza kwanini jeshi la polisi lilimtelekeza Tundu lisu apigwe risasi mchana kweupe badala ya kuwatelekeza na kupigwa risasi walioingia mikataba mibovu ya madini hadi kulitia taifa hasara????!!!????
 
[/QUOT🤐
 
Back
Top Bottom