Kwanini Unaleta porojo humu jamvini?
Where is our Ben?
Nilishawahi sema humu wateule wengi wa Rais wanamuangusha sababu wengi waliteuliwa sababu tu walishindwa kura za maoni ndani ya CCM kabla ya uchaguzi wa 2015. Wengi wao hawakuteuliwa kwa kuwa na uwezo wa kuwa viongozi.Ila ni sababu Mh labda alikuwa hajui historia zao vizuri. Lakini next round mambo yataenda vizuri.Sababu wengi ameshawasoma hasa anapofanya ziara zake.Hata mimi huwa najiuliza. RC yupo; DC yupo mpaka Waziri anatoka alikokuwa anagundua NiDA wana ID ziko printed na number ziko tayari; hao waliopo Wilayani na Mkoani wanafanya nini??
Au wanafaidika na hao subordinates wao??
Hata kwenye malalamiko ya ardhi, kudhulimiwa viwanja kuna wakati Mpaka JPM ua Majalawa wanafika; unawaza, kwanini Ma-RC na Ma-DC hawakuwa wame-solve.
Uzuri wa kazi za wateuliwa na public servants uki-deliver au hata usipo-deliver mwisho wa mwezi a/c inasoma muamala.
I propose kuna wakati baadhi ya kazi watu wapimwe on deliverables
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi huwa najiuliza. RC yupo; DC yupo mpaka Waziri anatoka alikokuwa anagundua NiDA wana ID ziko printed na number ziko tayari; hao waliopo Wilayani na Mkoani wanafanya nini??
Au wanafaidika na hao subordinates wao??
Hata kwenye malalamiko ya ardhi, kudhulimiwa viwanja kuna wakati Mpaka JPM ua Majalawa wanafika; unawaza, kwanini Ma-RC na Ma-DC hawakuwa wame-solve.
Uzuri wa kazi za wateuliwa na public servants uki-deliver au hata usipo-deliver mwisho wa mwezi a/c inasoma muamala.
I propose kuna wakati baadhi ya kazi watu wapimwe on deliverables
Sent using Jamii Forums mobile app
🤔🙄 🤐Kwanini Unaleta porojo humu jamvini?
Where is our Ben?
Pia ungejiuliza kwanini jeshi la polisi lilimtelekeza Tundu lisu apigwe risasi mchana kweupe badala ya kuwatelekeza na kupigwa risasi walioingia mikataba mibovu ya madini hadi kulitia taifa hasara????!!!????
[/QUOT🤐