FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Lakini wasingejua kwa wingi wa kiasi hiki, kuna vitu vingi vyenye negative impact kwenye utalii ambapo huko kwa wenzetu huwa vinabaki minong’ono tu, lakini hawatangazi wala kudhibitisha…Unafikiria kuficha kifo cha mtalii? Au unawaza wanakuja kigiza giza tu?
Mpaka kufikia hao kutangaza ujue duniani iliishajua
Tanapa waliwe kichwa kwanza kwa hilo, lakini si kila taarifa ni ya kupost. Hivi mtu mwenye followers milioni 14+ unashindwa kutumia busara kujua kwamba hiki sio cha kusambaza kwa maslahi mapana ya nchi? Hao watalii wakishajuwa mbuga flani kafa mtalii, mentality yao itabadilika, na watapungua..Sasa millard ayo amefanya kosa gani hapo...taarifa si ilishatolewa na tanapa
Sio kwamba aseme hajafa, kwani wakikausha kwa maslahi ya nchi watapungukiwa nini?Kwa hiyo ulitaka waseme mtalii hajafa kwa ajali? hii elimu mnayopewa ya kuchora panzi ndio imewafikisha hapa.
Nimeipenda hiiHiyo habari ni kweli au siyo kweli? Kila siku tunasikia habari za ajali za ndege za Boeing na bado zinafanya kazi kama kawaida japokuwa wana historia mbaya katika safari zao.
Hii nchi ina watu wajinga-wajinga sana, kila kitu mnataka kuweka siasa.
Hiyo habari ni kweli au siyo kweli? Kila siku tunasikia habari za ajali za ndege za Boeing na bado zinafanya kazi kama kawaida japokuwa wana historia mbaya katika safari zao.
Hii nchi ina watu wajinga-wajinga sana, kila kitu mnataka kuweka siasa.
Wacha ujinga, wameshasema ni ajali.Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu.
Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na kuitangazia dunia nzima kwamba kuna mtalii amekufa kwa ajali ya gari huko mbugani, lengo ni nini hasa?
View: https://www.instagram.com/p/C9-6AXZiYk1/?igsh=YW5teWp0aG54aWpm
Si ndio hapo , watu wengine sijui wanawazaga niniWacha ujinga, wameshasema ni ajali.
Embu naomba nipe mahusiano kati kutangaza au kutokutangaza hiyo habari na hicho kitu unachosema (maslai ya nchi)Sio kwamba aseme hajafa, kwani wakikausha kwa maslahi ya nchi watapungukiwa nini?
Such kind of you guys ni wajinga kweli? Ajali ni kitu cha kuficha?Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu.
Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na kuitangazia dunia nzima kwamba kuna mtalii amekufa kwa ajali ya gari huko mbugani, lengo ni nini hasa?
View: https://www.instagram.com/p/C9-6AXZiYk1/?igsh=YW5teWp0aG54aWpm
Ilitakiwa kua siri ya ndani eeeh afu tumzike kimya kimyaSote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu.