Rwanda ni kataifa kadogo sana kasicho na lolote la maana zaidi ya wananchi wake kuishi kwa hofu kubwa sana kutokana historia mbaya ya vita ya wenyewe kwa wenyewe
Hivyo hakuna Taifa lolote linaweza kupanga kuvamia hako kanchi kakibwege
Pia hio intelijensia yao unayosema ipo maalumu kwaajili ya kulinda utawala wa Kitutsi dhidi ya mahasimu wao wa Kihutu na si dhidi ya Taifa lao against Taifa jingine
Katika ukanda huu wa nchi za maziwa makuu TANZANIA ndio baba lao, superior country ktk ishu za majeshi na intelijensia kwa UJUMLA..!!
UN Security Council linai-label TANZANIA kama a supervisor/watchdog ktk ukanda wa nchi za maziwa makuu,,, ikitokea mtifuano kidogo tu Burundi/rwanda/Congo drc basi UN security Council wanapiga simu Tz kuomba taarifa kamili na kuhitaji Tz iunde na ipeleke delegates kushughulikia mtifuano huo.
AMANI ya ukanda wa maziwa makuu ipo mikononi mwa Tz
TUNALINDA AMANI YA NCHI YETU, TUNALINDA AMANI YA NCHI ZINGINE
Mungu Ibariki Tanzania