Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Sidhani kama wale wahuni waliteka kifaru...labda waliishia kushambulia wanakijiji wasio na silaha tu.
Kuteka kifaru ni propaganda tu ila kazi wanayo. Msifikiri Nyerere alikuwa mjinga kumuacha Idd Amin aiteke Kagera! Amin alijiingiza kwenye mtego wa sababu za kutandikwa! Hao wahuni wa Msumbiji sasa ndio watajua JWTZ ni kitu gani! Sasa wameipa uhalali JWTZ kudeal nao.
 
Ni raisi sana mtusi kumchunguza mhutu, hakuna la zaidi au ubora
 
Madini ya congo mkuu! sio rwanda.
 
Hii ka fasihi inahusiana na tukio la Ntwara.

Huko Rwanda kwenyewe wangekuwa vizuri, hayo mashambulizi vijiji vyao ndani kwa ndani yasingekuwepo, kigogo Hotel Rwanda asingetuhumiwa.

Ila kwa zile 'honey trap' za vile vibinti, tunachohomokaje? Tuacheni tu. Na sisi tunapenda wanawake warembo, wakiwa weupe ndiyo kabisaaa, tunatepeta.😀

Everyday is Saturday. 😎
 
Usione wote Wajinga
Mleta mada labda humjui wewe
 

Sawa kabisa p1 sana yaani anataka kusema ametumia akili kubwa sana mukichwa sisi hatuwezi kuelewa fasihi ya kiswahili yaano yuko " deep" sana kimipango anajifanya nae yuko smart ki inteligensia hatuwezi kumuelewa.

Angetumia wale mabinti tu basi maneno yangeisha. Tuanze na wale waimbaChoir " kwetu Pazuriiiiiii"
Nadhani hatojali kuwa shemeji yetu, hayo mengine ya P.K watajuana wenyewe huko huko.
 
Nisaidie katika uchambuzi wako umeelewa nini?
 
Kwani waliwaachia kifaru big no nafikr ni jeshi la msumbiji, wale walifanya ambush kweli wameua watu ila hawawezi tia watu kidole namna ya kuteka kifaru na wakipeleke wapi,na wamekitekea wapi ilihali wamevamia kijijini
Wale magaidi walivizia wapita njia wakapiga risasi na kukimbia kwenye aridhi ya Tz walikaa kwa dakika 20 tu wakatoroka na kama uliona ile picha ya mgombea wa CCM haikuwa ukutani hizo zingine ni propaganda tu za magaidi
 
Ni kweli ndugu kwa sasa Rwanda inapata taarifa yoyote ile kwenye Nchi nyingi za Africa kutokana na tabia yao ya kuweka watu wao katika sehemu nyeti za Nchi nyingi za Africa.Ukienda jeshini wapo, ukienda ikulu unakuta ndo walinzi wenyewe.sasa hapo unachomokaje ndugu?.

Kagame akiamua wiki 1 tu inatosha kwake kuchukua Easte Africa yote na vitongoji vyake.
 
Hao wanasifika kwa ukatili zaidi, lakini ujasusi wao ni wa kawaida sana.

Wanyarwanda ni wakatili sana nadhani ile vita vya kuchinjana wenyewe kwa wenyewe iliwaharibu kisaikolojia.

Ukiangalia sifa hizi wanazozipata ni ile kuwaua wapinzani wa Kagame. Huu ni ukatili tu.
 
Kweli kabisa mkuu
 
hahahaha umenikumbusha zaman saana tulikuwa tunaambiwa Tz ni nchi ya tatu kijeshi
 
Labda ataichukua Burundi.

We unatishika na waliokuwaga wapishi jeshini tena ni watoto wa wakimbizi waliozaliwa humu nchini ambao kiundani hata huo utwala wa kgm hawaupendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…