Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Wale magaidi walivizia wapita njia wakapiga risasi na kukimbia kwenye aridhi ya Tz walikaa kwa dakika 20 tu wakatoroka na kama uliona ile picha ya mgombea wa CCM haikuwa ukutani hizo zingine ni propaganda tu za magaidi
Video sijaiona ipo ktk uzi gani
 
Huyu ni popoma kweli.Nashangaa baadhi ya watu wanamremba eti katumia Fasihi.Hamumjui kama huyu Gentamicyn ni Kabila la watwa kule Rwanda?.Asiwazuge,amemaanisha alichoandika na anamuhusudu sana Rais wake PK
Nakubaliana na wewe mkuu huyu jamaa anajifanyaga mtanzania mara mrwanda but all in all ni mrwanda
 
Kamuulize tu huyo Kikwete wako kama alijua anauweza 'Mziki' wa Kagame mbona alimwomba Hayati Mkapa na Team yake wampatanishe nae PK?
Kuhusu kupatanishwa ni kikwete kuambiwa ajishushe na mtu kama mkapa alikua na ushawishi, bila ivo mkapa angemjaza upepo kikwete rwanda saiv ingekua mkoa wa tz saiiv
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huwezi kuihepa siasa aseee,siasa ipo kama maji,usipo yanywa utayaoga usipo yaoga utayafulia yaaani huwezi kuikwepa siasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko makini sana
 
Duh nawewe kumbe zeroo HUJUWI kilicho andikwa aiseehh...

cc GENTA
 
PK aliposema juzi kwamba wale jamaa walifungiwa wahakikishe ule mshiko waingia kwenye chungu chetu na sasa naunganisha na hii mada naona taa mwisho wa tanuri.

Halafu likaja hili suala la huko pwani ya kusini kumefanyika shughuli kimyakimya hakuna media wala nini jamaa walikuwa wakisubiriwa waingie kwenye 18.

Ni kainchi kadogo lakini hatari sana.
 
Wanyarwanda wana comment na kupeana "like" wao kwa wao, halafu wanasema wao akili kubwa wanajua Fasihi ya Kiswahili kuliko sisi wabongo, Labda wangesema Fasihi ya Kitusi au Kihutu.

Unajibu comment hapa kumbe una chat na mtusi kudada deeeki buku 7 wa PK. Hiyo PK mkali haijaanza leo, toka miaka kibao imekuwa wimbo wa kitusi eti PK ana pua kali sana ya kunusa wabaya wake wakati wanapanga tu yeye kesha nusa. Hah ha ha shemeji zangu mmezidi.

Inaeleka na kule kuna buku 7 wa PK wamejaa humu wanahangaika sana, kila siku PK ana pua kali ya kunusa majasusi Afrka nzima yeye mkali So What? Kama yeye ni mkali ndio nini sasa?
 
Bora 'Umewaelimisha' hawa Watanzania Mkuu kwani Wao wanadhani Vita ni ukubwa wako wa nchi tu. Tanzania haiiwezi Rwanda Kivita sasa 100%.
 
Hapa Afrika hakuna chombo cha ujasusi kilichosawa au zaidi ya TISS kiuwezo

Mimi mfuatiliaji sana wa mambo ya ujasusi ,anaefuatilia sana pia masuala hayo ataungana nami
Nakubaliana nawe Mkuu kuwa hawa SSIT hawana Mpinzani Afrika na pengine hata duniani. Sasa imekuwaje 'Uvamizi' wa Al Shabaab hawakuujua?
 
Kuhusu kupatanishwa ni kikwete kuambiwa ajishushe na mtu kama mkapa alikua na ushawishi, bila ivo mkapa angemjaza upepo kikwete rwanda saiv ingekua mkoa wa tz saiiv
Ninachojua kwa huu Ukanda Wetu ni nchi mbili tu ambazo zitaisumbua 'Kijasusi' na 'Kivita' Rwanda ambazo ni Uganda na Angola ila TZ ni Wepesi.
 
Waambie Watanzania Wenzako hapa JamiiForums kuwa wasijaribu wala wasithubutu 'Kupigana' na Rwanda kwani Tanzania itakuwa tu Mali ya PK.
 
Mbona 'unateseka' sana hivi 'Swine' Wewe?
 
Mbona 'unateseka' sana hivi 'Swine' Wewe?
Ha ha naona sindano imeingiiiiiiia sasa haha wewe popoma tulia sindano iiingie halafu mi bye bye sikujubu tena . Hizi PK mkali mkali njoo na mada nyingine sasa, huna mada nyingue PK mkali kwao kule milimani sio huku.

Huyu Swine kama mimi hana mada nyingine kila siku hiyo hiyo PK mkali.
 
Nakubaliana nawe Mkuu kuwa hawa SSIT hawana Mpinzani Afrika na pengine hata duniani. Sasa imekuwaje 'Uvamizi' wa Al Shabaab hawakuujua?
Operations ambazo TISS wamefanya kwa umahiri kuilinda Nchi sio fair kuwalinganisha na Rwanda ambao hata waasi tu wanashindwa kuwatokomeza tena cha ajabu waasi wenyewe wapo ardhi za DRC na Burundi nchi zinazopakana kabisa na Rwanda
 
Nakubaliana nawe Mkuu kuwa hawa SSIT hawana Mpinzani Afrika na pengine hata duniani. Sasa imekuwaje 'Uvamizi' wa Al Shabaab hawakuujua?
Hao alshabaab Kama JWTZ wataingizwa Msumbiji wasubiri maafa kwao

Majeshi ya nchi za Afrika mashariki ukiachana na Burundi tu ni moto mkubwa na mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…