Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Tangia lini 'Uncircumcised Baboon' kama Wewe akawa na 'Akili' hapa Jamvini JamiiForums?
I would like to recognized you like psycho b!tch...fu@ked with 1inch d!ck of rwnda patriotsm still you can get enough of that and you still find 81 inch of Tanzania patriotsm
 
Mbona hiki 'Kiingereza' chako kimekaa 'Kishoga / Kitambaliziwaji' sana au Wewe ni Mmoja wao / Miongoni mwao?
 
Ndio maana nakuambia wewe ni mweupe na ndio maana. I used to recognized as psycho b!tch ninapo kuona na thread zako
 
Bado hujajibu 'Swali' langu na nalirudia Kukuuliza tena je, Wewe ni 'Shoga / Mtambaliziwaji' au? Manake Kiingereza chako tu 'Kinasadifu' hiyo tabia.
 
Inasemekana huwezi kupanga Jambo baya la 'Kuidhuru' Rwanda ukiwa ndani au nje ya nchi hiyo na kama ukipanga kufanya hivyo usijulikane mapema kwani utadhibitiwa Kikamilifu kabisa.

Pia wanasema huwezi 'Kuvamia' Mkoa wowote ule wa Rwanda hata kama Wewe ni Gaidi na ukauwa Wanyarwanda au ukawashambulia Wanajeshi wake tena 'Makomandoo' kabisa na wengine wakakimbia na kukuachia 'Vifaru' vyao.

Nasikia 'Majasusi' wa Rwanda ni wazuri sana katika 'Kunusa' hatari na wala hawana mambo mengi, hawapendi 'Sifa', hawajihusishi mno na 'Siasa' za Rwanda bali Wao wanapambana tu Kuilinda Rwanda na Wanyarwanda wote.

Je, hii ina ukweli wowote labda? Na kama ni kweli ina maana 'Mafunzo' wanayopewa 'Majasusi' wa Rwanda ni tofauti na Nchi zingine zote za EAC?

Wewe unaamini hayo? Yes Rwanda imemwaga wapelelezi kibao kila upande wa eneo letu. Hii inawasaidia sana sababu Baadhi yao wanaishi kwenye maeneo mengine kama wazaliwa. 1972 na 1994 walipokimbia Rwanda wengi walienda kila maeneo.
Ila Haina maana wao hawajulikani au hawawezekani. Naamini kwamba kiasi kikubwa wanaweza sababu ya kutumia wale wanaoishi sehemu husika
 
Mkuu umejibu vizuri sana ofcoz ni sifa za kijinga tu kuhusu Rwanda halafu kama mtu hajafika anaweza akaamini huu uzushi hamna kitu kule bora hata South Sudan
Ahaha.Dah mkuu hata kama ni kuponda ila hapa umevuka mpaka.kwa Yan salvar kiir ni bora kuliko kwa kagame?!😂
 
Adui wa Rwanada anapata nini cha maana? Kahawa vikombe viwili au na yeye awapore madini wanayopora Congo DRC?

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufikiria kuhangaika na huo mkoa mdogo usio na rasilimali zozote.

Uko sahihi kabisa mkuu
 
Inasemekana huwezi kupanga Jambo baya la 'Kuidhuru' Rwanda ukiwa ndani au nje ya nchi hiyo na kama ukipanga kufanya hivyo usijulikane mapema kwani utadhibitiwa Kikamilifu kabisa.

Pia wanasema huwezi 'Kuvamia' Mkoa wowote ule wa Rwanda hata kama Wewe ni Gaidi na ukauwa Wanyarwanda au ukawashambulia Wanajeshi wake tena 'Makomandoo' kabisa na wengine wakakimbia na kukuachia 'Vifaru' vyao.

Nasikia 'Majasusi' wa Rwanda ni wazuri sana katika 'Kunusa' hatari na wala hawana mambo mengi, hawapendi 'Sifa', hawajihusishi mno na 'Siasa' za Rwanda bali Wao wanapambana tu Kuilinda Rwanda na Wanyarwanda wote.

Je, hii ina ukweli wowote labda? Na kama ni kweli ina maana 'Mafunzo' wanayopewa 'Majasusi' wa Rwanda ni tofauti na Nchi zingine zote za EAC?
Wee sema magufuli kaharibu jeshi kulihusisha na siasa
 
Unasikia na hauna ushahidi ... Taarifa za kusikia sio nzuri sanaa

Ni sawq ilivyo kuwa ikifahamika zaman kwamba Pakistan ni wazuri ktk ujasusi lkn kitendo cha Jeshi la marekani kuingia ktk anga la Pakistan na kwenda kuvamia jumba alilokuwepo Osama tena bila hata ya kuwa taarifu serikali Pakistan ikadhihirisha they are nothing but a piace of trash.

Kwa hiyo usiwape kichwaaaa
 
Back
Top Bottom