Je, ni kwanini TRA isibinafsishwe ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?

Je, ni kwanini TRA isibinafsishwe ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?

Natoa wito pia hata SERIKALI IBINAFSISHWE tuwape MABEBERU ili tuongeze TIJA na UFANISI.

Tena hii ni rahisi, hakuna mambo ya mkataba, tutakachofanya tunawakabidhi tu INSTRUMENT OF POWERS imeisha hiyoooo!

Ni kitendo cha dakika mbili.
 
TRA wakiamia waanze kukusanya kodi tutalalamika, maana uwezo huo wanao sema umasikini na siasa zinasababisha waache mf ni Machinga wote hawana mashine
 
Juzi tu tumetoka kuwalalamikia TRA kodi kila sehemu sjui Double Taxation alafu tu ibinafsishe tuwape mabeberu si maji tutaita mma siungi mkono hoja maana wakiamua wanaweza mm naona labda tubinafsishe NIDA au TANESCO NA IDARA YA MAJI Kila siku umeme, maji na vitambilisho ni shida.
 
Kwakuwa TRA imekuwa moja ya sehemu zenye ufanisi mdogo na utendaji mbovu kabisa serikalini, ni kwanii mamlaka hii isibinafsishwe hata kwa waarabu tu ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?

Mama ushungi akiona huu Uzi tumekwisha, hata chelewa kututafutia muwekezaji Kuwait kwa wajomba zake.
 
Naunga hoja.
Halafu pia napendekeza CCM nayo ibinafsishwe kwa miaka 200 au ipigwe mnada kabisa mana ndo mama wa matatizo yote nchini ya usimamizi na uendeshaji wa rasimali na maliasili za nchi.

Nimekaa paleee navuta shisha!!!
 
Kwakuwa TRA imekuwa moja ya sehemu zenye ufanisi mdogo na utendaji mbovu kabisa serikalini, ni kwanii mamlaka hii isibinafsishwe hata kwa waarabu tu ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?
Upigaji ukizidi itabidi tusaidiwe !
 
Siku mkisikia TRA inauzwa nisitueni mapema ni compete namie kuinunua.
Pia msisahau Bunge, Ikula na hata mahakama hivi navyo vinaweza kunifaa.
Hata Ikuku naona tuwape waarabu, tuongeze ufanisi
 
Kwakuwa TRA imekuwa moja ya sehemu zenye ufanisi mdogo na utendaji mbovu kabisa serikalini, ni kwanii mamlaka hii isibinafsishwe hata kwa waarabu tu ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?
Hata ukienda Dubai makampuni yana kusanya ushuru/kodi kwa niaba ya serikali, ni kitu kinacho wezekana ila kuna kuwa na uangalizi maalum chini ya serikali
 
Back
Top Bottom