DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Kusimamia bandari ni kazi ya bibi yako?Kukusanya kodi ni Kazi ya Serikali
Aha ibinafsishwe tu TRAKukusanya kodi ni Kazi ya Serikali
Ya Fatma Karume!Kusimamia bandari ni kazi ya bibi yako?
😄😄Aha ibinafsishwe tu TRA
na tanesco pia waibinafshe nayo
Ova
Nakazia,"MUNGU "Waarabu wapewe bhanaa, hao ni waja watukufu wa mnyaazi.
Kwakuwa TRA imekuwa moja ya sehemu zenye ufanisi mdogo na utendaji mbovu kabisa serikalini, ni kwanii mamlaka hii isibinafsishwe hata kwa waarabu tu ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?
Upigaji ukizidi itabidi tusaidiwe !Kwakuwa TRA imekuwa moja ya sehemu zenye ufanisi mdogo na utendaji mbovu kabisa serikalini, ni kwanii mamlaka hii isibinafsishwe hata kwa waarabu tu ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?
Imevamiwa ! So sad 😞 !!Kujitoa jf unafanyeje?
Naona imegeuka fb
Hakuna tena hoja za maana ni udiniiiii tuuuuu
Nikadhani agenda inayofata ni Chamwino na Magogoni, wakuu hizi nazo ziwekwe sokoni tu kwani shingapi.
Hata Ikuku naona tuwape waarabu, tuongeze ufanisiSiku mkisikia TRA inauzwa nisitueni mapema ni compete namie kuinunua.
Pia msisahau Bunge, Ikula na hata mahakama hivi navyo vinaweza kunifaa.
Hata ukienda Dubai makampuni yana kusanya ushuru/kodi kwa niaba ya serikali, ni kitu kinacho wezekana ila kuna kuwa na uangalizi maalum chini ya serikaliKwakuwa TRA imekuwa moja ya sehemu zenye ufanisi mdogo na utendaji mbovu kabisa serikalini, ni kwanii mamlaka hii isibinafsishwe hata kwa waarabu tu ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?