Sio kweli kuwa wanamichezo hawatembei wala kudead na COVID 19 labda wanamichezo wa Kiafrika [emoji16]..... Hawa ni baadhi ya wanamichezo tu waliokufa kutokana na Ugonjwa huu;
1. Francisco Garcia Huyu alikuwa ni kocha wa klabu moja ya soka kwenye mji wa Malaga nchini Uhispania. Tarehe 17 machi Mwaka 2020 alifariki kwa COVID 19 akiwa na umri wa Miaka 21 tu.
2. Shobushi alikuwa ni Mwanamieleka kwenye michezo ya Sumo. Alifariki kwa ugonjwa huu huku akiwa na Miaka 28 tarehe 13 April 2020.
3. Danil Khalimov mwanamieleka wa Kirusi akiwa na Miaka tu alitembea kwa ugonjwa huu. Mnamo mwezi wa kumi tarehe 15.
Orodha iko ndefu sana ila ugonjwa upo jamani!!!! [emoji20][emoji20][emoji20]
Ni kweli wapo wanamichezo waliokufa ila idadi yao ni ndogo sana,kuonyesha kuna kitu kinachompa advantage mwanamichezo.
Kwa mfano hao akina Garcia,Shobushi walikuwa na complications nyingine za kiafya.
Silaha kubwa ya corona virus ni kuathiri kiwango cha oxygen mwilini,so you can see kwanini wanaoathirika sana wengi ni watu wanene,wazee na wenye other healthy complications maana kazi ya oxygen mwilini sote tunaijua.
So ni kweli unapokuwa mtu wa mazoezi,hasa aerobic exercise kama kukimbia,unakuwa na chances za kusurvive na hata kuwa asymptomatic kabisa.
Wanamichezo wengi kama footballers wamepata covid ila haikuwadhuru kabisa.
Hata hivyo kama ulikuwa regular athlete halafu ukaacha mda mrefu,then uko kwenye hatari kubwa ya kuumizwa na corona,maana wanamichezo wengi wastaafu wanakuwaga na respiratory na cardiac issues sana,hasa matatizo ya upumuaji na wengi hufa vifo vya ghafla.
Pia nadhani mazoezi yanasaidia kwa mtu ambaye tayari ni regular athlete,ila sio uanze kujisikia vibaya leo halafu unakwenda kukimbia uwanjani,unatafuta matatizo zaidi.
This shit is deadly,ikikupitia you better seek medical solutions first.