Beauty
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 540
- 23
Beauty nimekusoma hapo
Umeona eeh?!! kula 5 hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beauty nimekusoma hapo
makalio yana raha yake bwana,kuanzia ktk aina fulani za mavazi au mpk kwa 6 x 6, but yasiwe makubwaaaa mpk yanakera, size fulani hivi ni poa zaidi.
Unaweza kuwa ugonjwa pia (Steatopygia)
Sure kina kaka wengi hawalifahamu hili...Unaweza kuwa ugonjwa pia (Steatopygia)
:confused2::confused2:Phew......! Am flattered...
And nafikiri ni vema ikiendelea kukaa hapo....ili ichemshe akili yako vizuri!
Mind shud be busy....not dull!!:smile-big:
Usicheke Smiles.... hebu msome na huyu malaika mwenzio hapa chini!!hahahahah......:becky:
Go Asprin go, tena kimbia usilembe hata kdg, gud lucky.
Hi. I am posting this message 4 the first time as a new JF member. I hope am warmly welcomed.😎
Mi mpaka na aleji nayo yaani mmmh
Mi mpaka na aleji nayo yaani mmmh
Name calling??? BAN?Chrispin vipi:becky::becky::becky:
Beauty nimesahau mawani yangu... hebu nisomee umeandika nini hapo kwenye red? Hebu twende Pm watoto wasije wakaona!makalio yana raha yake bwana,kuanzia ktk aina fulani za mavazi au mpk kwa 6 x 6, but yasiwe makubwaaaa mpk yanakera, size fulani hivi ni poa zaidi.
nikuletee ant allergy? unaweza kuanza kuyapatia stimu taratiiibuuu.:smile-big:
kuna ndugu yangu ni mlevi wa hiyo mambo!.....
muzee wa chuda upoooooooooo?
Aah Asprin.....Beauty nimeshamsoma sanaaa tu!
heheheh..... vipi avatar yake?
Beauty nina mashaka na wewenikuletee ant allergy? unaweza kuanza kuyapatia stimu taratiiibuuu.:smile-big:
Name calling??? BAN?
Beauty nimesahau mawani yangu... hebu nisomee umeandika nini hapo kwenye red? Hebu twende Pm watoto wasije wakaona!
Beauty nina mashaka na wewe
njoo nikupime kama kweli sina mashaka nawe
PM me
naona mtaalamu ''UNAKAIMU''...Jamani jamani jamani.... I said am in love with your avatar... Nami ninaamini katika mapenzi kwa mtu mmoja at a time. Sasa tumalizane kwanza then infidelity ikikukwaza ukaamua kunitosa, then ntahamishia mahaba kwenye avatar ya beauty.... Have I made myself clear?
Jamani jamani jamani.... I said am in love with your avatar... Nami ninaamini katika mapenzi kwa mtu mmoja at a time. Sasa tumalizane kwanza then infidelity ikikukwaza ukaamua kunitosa, then ntahamishia mahaba kwenye avatar ya beauty.... Have I made myself clear?