Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo?

Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo?

Beauty nina mashaka na wewe
njoo nikupime kama kweli sina mashaka nawe
PM me
Kiongozi taratibu... usiingilie maslahi ya chama tawala!!!

bad kucky, mkono uliteleza hata sielewi kwanini niliandika hivyo.So, hata kukuelezea zaidi siwezi.
:confused2::confused2:

naona mtaalamu ''UNAKAIMU''...

usisahau principles.....!KIZURI KULA NA NDUGUYO TEAMO
Paka akitoka?

eeeeh...... ok!
Mh.... speechless again:confused2:
Sasa usiwe speechless bila kuchukua hatua!! Vunja ukimya!!:A S 8::A S 8::A S 8:
 
Jaribu kuonja angalau mara moja kisha utajua utamu wake na hivyo kuelewa kwa nini wanaume wengi wanapenda wowo wowo wowo.
 
heheheh....
si ni avatar tu au? still uncomfortable niitoe hapo....?
Anyway, endelea kuiacha nilishasahau kuwa wikiendi imeanza. Ila ikipata mimba tusilaumiane...:becky::becky::becky:
 
Etiii.....?
ikitokea.....itabidi u-deal nayo

Kwa mila na desturi zetu na kwa rules zetu za infidelity...watu wote pigeni makofi matatu kwa afya yangu.....Hatimaye kimeeleweka.....

Hongera Asprin!! Hongera Sana.... Karibu sana Smiles! Karibu kwetu nyumbani!!!:A S 100:
 
Hili siyo wowowo, haya ni manyama ambayo hayapo ki starehe zaidi, yanayotumika kwa matumizi machache sana kama vile kukalia, kupigwa sindano na viboko.

Afu we mrembo leo umeamkia upande upi? LOL!!! Ukiondoa matumizi hayo, makalio mengine yana matumizi mengine zaidi kama yapi?
 
heheheh.....
 
Unaposema wanaume wengi, hii siyo kweli. Kila mwanaume ana kitu ambacho kinaweza kumvutia kutoka kwa mwanamke.
Kuna rafiki yangu aliniambia kwamba yeye hapendi wowowo. Ila anapenda m'mke mwenye manyonyo/matiti yenye ukubwa ba sura kama ya 'madafu'...
 
Kuna rafiki yangu aliniambia kwamba yeye hapendi wowowo. Ila anapenda m'mke mwenye manyonyo/matiti yenye ukubwa ba sura kama ya 'madafu'...

Hii kipenda roho mm kuna jamaa angu anapenda wanawake wenye ndevu
 
Afu we mrembo leo umeamkia upande upi? LOL!!! Ukiondoa matumizi hayo, makalio mengine yana matumizi mengine zaidi kama yapi?
Asprin umeona kwanza huyo mdada kwenye picha aliyoweka LeopoldByongje? do you think makalio yake yanafaa kwa starehe za hapa na pale? halafu Asprin bana mbn unaniangusha kama huji matumizi mengine,LOL, hapo hata kulumangila huwezi.
 
Unaweza kunipa tuition kidogo? Mi huwa naelewa kirahisi mafunzo ya vitendo:A S 8::A S 8::A S 8:
 
Hili siyo wowowo, haya ni manyama ambayo hayapo ki starehe zaidi, yanayotumika kwa matumizi machache sana kama vile kukalia, kupigwa sindano na viboko.
NA HII.JPG:lol: HAPO JE?
 
Hii kipenda roho mm kuna jamaa angu anapenda wanawake wenye ndevu

Mi napenda mwanamke mwenye meno mekunduuuu! Asiyejua kupiga mswaki anakuwa na added advantage..... Akiwa na vinyweleo miguuni basi mi habari yangu inakuwa kwishnei!!
 
Hapa kuna ishu gani tena?? Mara avatar mara Beauty...mara matumizi mengine...:confused2::A S confused:.....
Halafu huyu dokta aliyenianzishia midawa inayoingilia wikiend....:mad2:
 
Back
Top Bottom