Babylon
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 1,332
- 83
![]()
shem ushakutana na ngoma kama hizo? usiku unakuwa mdogo
Utafikiri katiwa upepo?mfadhaiko mkubwa Mmungu tuepushe tusije tukapotea njia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
shem ushakutana na ngoma kama hizo? usiku unakuwa mdogo
huo cha mtoto, nilipendekeza hii thread imuvuzishwe, tusijetafutana uchawi nitakapoanza mafuriko
...listi ya wadau wa kujiexpress inaendelea
Ongeza jina hapo......
- FIDEL
- MASA...
- MSA...
- NDAHANI
- KIGOGO
- Yoyo
- Maane
- Lazy dog
- BAK
- BRAZAMENI
- KIFARU
- SONARA
- .......
Je ni kwasababu gani wanaume wengi wako obsessed na the back side of a woman aka booty aka a*** aka patuty aka bumbum and all those names that have beened coined to to say just one part of a womans anatomy?
Sababu kubwa ni hizi..
1. Uzri wa mwanamke kwao huanzia na kujaa kwa sehemu hizo.. kama mimim navyopenda kuona mguu wa mwanamke..haina maana natamani kuufanya kitu..
2. Umbo la mwanamke huwa lina sifa zake.. na mara zote ****** ni sehemu kubwa ya uzuri huo hivyo yawezekana wapo wanaotazama kwa kushangaa kuona ukubwa wa kukithiri uzuri wa mwanamke na wapo wanao appreciate umbo la mwanamke huyo.
3. Ni mchanganyiko wa 1 na 2, ktk fikra za....kwa nini binadamu wanapotaka kitoweo..humchagua kuku aliyenona?..
- Kwa raha zako!
![]()
shem ushakutana na ngoma kama hizo? usiku unakuwa mdogo
M'One,
Wanawake wasio na hayo madude ya kuvutia bado wanapendeka ila hayo huongeza mvuto. Wengine wanayo ila huvaa in a way ambapo hayawi exposed. Maanake shida kubwa ni zile contours zinazoonesha mgawanyiko wake na ule ulaini wake.
kwa wenye wivu, hiyo ni pasua roho haswaa. Ndo maana wengine hawaamini kuwa wa kwao ni wao peke yao. Kwani huona jinsi vile vinavyowavutia wao vinawavutia na wengine. Sasa mkeo au bibiyo anayo ya haja halafu anayaachia wazi kwa vijinzi au vigauni vya kubana. Basi ni presha juuu, presha chini kwa mwenye mali hasa wanapoagana.
Wengine huishia kutoa amri ya uvaaji. Wengine hufa na Tai shingoni (wanaumia ila hawasemi). Wengine husema, aaa basi, namiye nitapakata jingine!
Mkuu Yo Yo hii kitu imenipa mfadhaiko jamani naenda kupumnzika maana nashindwa hata kupumua samahanini jamani.
Kama ni wikiendi ,mzigo kama huo mkulu unafanya kuwapa watoto hela ya kitafunio kwa mkono kutokeza kidogo tu mlangoni.![]()
shem ushakutana na ngoma kama hizo? usiku unakuwa mdogo
Bibie ndo mambo ya kuangalia uumbaji. Most men just see, appreciate and move on!..Lazima kuna kuzidiana uzuri/maumbo kati ya binadamu, na wewe kitu kikuduwazaa duwaa kweli ati.
Wewe Msanii acha hizo!!! Lini BAK alikwambia anapenda Tigo? Nilichosema ni kwamba haya mambo ya Tigo kama yanahusu mke na mume basi wenyewe waachiwe wafanye maamuzi yao bila kuingiliwa na society maana wako wanawake wanasema wanaenjoy sana hii kitu na ni part and parcel of their love making.
Maana huku kuingilia wanandoa katika nyumba zao kama kusipowekewa mipaka wengine watadai kwamba kitendo cha ndoa ni lazima kifanywe katika kifo cha mende tu au vinginevyo ni dhambi.
Lakini mnatukera cc wanawake na hiyo tabia yenu...hata mkiwa na wake zenu mnashindwa kujizuia.....manakodorea hadi linatokomea.....atleast show a respect when you are with your woman around....
Kama ni wikiendi ,mzigo kama huo mkulu unafanya kuwapa watoto hela ya kitafunio kwa mkono kutokeza kidogo tu mlangoni.
Mkulu unarudi kwenye 6 x 6 kuendeleza libeneke.Duh..
Dah. Mkuu samahani ila hizo post zako zilipitia kwa wataalam wa saikolojia wakagundua kuwa na wewe ni miongoni mwao mwa haoo akina FIDEL, MSA, MASA.... na kazalika.
Usihihofu shekhe mambo madogo hayo
asikwambie mtu, mata.ko yana raha yake kama mwanaume unajua kuyatumia (sio kwa kuruka ukuta)