Je, ni kweli ACT WAZALENDO kusema kina Wanawanachama 10 Mil kuna ukweli wowote?

Je, ni kweli ACT WAZALENDO kusema kina Wanawanachama 10 Mil kuna ukweli wowote?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini, naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka.

20241004_211659.jpg
 
Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini ,naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka View attachment 3115453
Wamewaiga chama chao mama ccm kwenye kupika data. Kama ccm ina miaka 50 bado inapika data, unategemea nini kwa vyama ambavyo ni matawi yake?
 
Ni sahihi ikiwa kama moja ya tawi kuu la CCM.
 
Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini, naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka.

View attachment 3115453
Uongo wanajitahidi kuwasaidia ccm kuonekana kugawanya kura halafu ionekane ccm wameshinda. Watuache waende Zanzibar walikouza chama.
 
Kweli kabisa, na mimi ni mmoja wapo, nikisikiliza hotuba za Jussa, kwa hakika ni moja ya wanasiasa bora kabisa wa upinzani kwa wakati juu, Ana Jenga hoja, hatukani, na anajua kuwasilisha ujumbe
 
HAhaha nchi nzima hata 200 hawafiki, labda ccm wavae sare za act. Maana ni dugu moja.
 
Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini, naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka.

View attachment 3115453
huenda ni kweli kabisaa maana chadema haina wanachama tena...

Nadhani dunia nzima ilishuhudia hilo kwamba, hapakua na mwanachadema hata moja aliethubutu kuandamana zaidi ya chairman wao kwenye maandamno haramu ya majuzi...

Hii inamaanisha baadhi wamehamia ACT wazalendo na ndio wakafikia idadi hiyo ambaya ni 4times ya idadi ya wanaccm 🐒
 
Back
Top Bottom