Wakuu mi nadhani tunasahau au tunakosea kitu kimoja. Kumjuua mpenzi/mke wako ni muhimu sana
lwa mfano , enzi hizo za 'ujana wako' ukichunguza, utakuta sawa ulikuwa unapiga 'bao nyingi' lakini sio za kiufundi na kwa hiyo ulikuwa pengine humfurahishi/fikishi mwenzi wako,
Ni bora mara mia ukapiga bao moja la kiufundi, la muda mrefu, tamu, ambalo wakati wewe unafika mara moja, wa 'ubani' wako anakuwa ameshafika hata zaidi ya mara moja/mbili/tatu kutegemea na hali halisi ya mazingira.
Kuna suala pia la wewe kumwona mke wako kama 'mama watoto' ambayo kwa upande wangu ni kosa kubwa...endelea kumwona kama ni mpenzi wako, mpya kabisa, na mnaendelea kufanya 'kila kitu' ambacho kilikuwa kinafanyika kabla ya kupata watoto..namna hiyo mtakuwa na raha na 'mood' ya kufanya mapenzi itaendelea kuwepo.
Ukijifanya kuwa sasa uko busy na kazi, eti na watoto wapo sasa inabidi ada za shule, mara ujenzi wa kibanda, mara nini, utajikuta unakuwa na msongo wa mawazo (stress) na bahati mbaya hivi vitu haviendani linapokuja suala la mapenzi.
Sisemi kuwa tusiwajibike, ila tuwajibike tukijua kuna wajibu mwingine unatusubiri unaohitajin ulinganifu wa majikumu ya kawaida na ya kitandani.
Niseme kwamba mkuu fundi huna tatizo, ni kiasi tu cha kubadili 'mfumo wa maisha', na kupiga bao nyingi sio afya wala ufundi, ufundi ni kumridhisha mwanamke...eeeeh.....hapo ndipo uanaume wako unapoonekana!
Mkuu Mbu hebu ongezea kidogo chukua kipaza sauti..............