Violet
Member
- Nov 17, 2008
- 99
- 4
Labda inatakiwa kubadili mazoea. Styles mpya na pia sehemu mnazofanyia, sio kila siku kitandani na styles zile zile lol! Nyumba ndogo huwezi kulinganisha na mke, yeye ni kama mwizi tuu, hivyo anachakarika, anataka kesho urudi tena. Mke anajisahau , anajua ni mme wangu tayari.