fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
Jamani c utani.mwaka wa kwanza nilipooa nilikuwa naweza piga raund kama nne hivi na my wyf.lakini baada ya mwaka ama miwili shoti moja tu nalala kama gogo.je? wadau niko peke yangu ama hiyo ndio siri ya usingizi??
kaka wa2 tulianza kwa mbwembwe.....nikitoka kazini kabla ya kula msosi wa usiku kimoja, kwenda kukoga bafuni tunakwenda wote, kimoja. kabla ya kulala kwenye saa 4 hivi, malavidavi + kimoja. usiku wa saa 8-9 hivi kimoja. asubuhi kabla ya kuoga na kuelekea kazini, kimoja. kwenye daladala full kulala njia nzima wakati ndo kwanza kunakucha.
sasa hivi tuna ka-baby.
uliza. saa 4-5 usiku kimoja mpaka asubuhi babake. na nikitaka cha pili lazima aikoroge kama simu za mezani za zamani.
hapo ndio ndugu na bwana mbu natatanika.cjui nini hasa kiini.na zaidi nahofia kutumia madawa ya kuongeza nguvu kwani naambiwa fainali zake uzeeni.
...tukiendelea na mjadala huu kwa heshima na taadhima kidogo kidooogo tutapata suluhisho kwanini ukiwa uwanja wa ugenini(nyumba ndogo),stamina inaongezeka kuliko uwanja wa nyumbani!
hahaha.mbu sasa unaleta point nyingine safi.lakini je,kawaida kinacholiwa kwa siri c huwa kitamu zaidi?na vile hakiliwi kila cku
ama tuseme mawyf zetu wanaisha ladha kadri cku zinavyosonga?
mazee ni baiskeli hio mpaka uisimamie namna hio?kaka wa2 tulianza kwa mbwembwe.....nikitoka kazini kabla ya kula msosi wa usiku kimoja, kwenda kukoga bafuni tunakwenda wote, kimoja. kabla ya kulala kwenye saa 4 hivi, malavidavi + kimoja. usiku wa saa 8-9 hivi kimoja. asubuhi kabla ya kuoga na kuelekea kazini, kimoja. kwenye daladala full kulala njia nzima wakati ndo kwanza kunakucha.
sasa hivi tuna ka-baby.
uliza. saa 4-5 usiku kimoja mpaka asubuhi babake. na nikitaka cha pili lazima aikoroge kama simu za mezani za zamani.
mazee ni baiskeli hio mpaka uisimamie namna hio?
kaka wa2 tulianza kwa mbwembwe.....nikitoka kazini kabla ya kula msosi wa usiku kimoja, kwenda kukoga bafuni tunakwenda wote, kimoja. kabla ya kulala kwenye saa 4 hivi, malavidavi + kimoja. usiku wa saa 8-9 hivi kimoja. asubuhi kabla ya kuoga na kuelekea kazini, kimoja. kwenye daladala full kulala njia nzima wakati ndo kwanza kunakucha.
sasa hivi tuna ka-baby.
uliza. saa 4-5 usiku kimoja mpaka asubuhi babake. na nikitaka cha pili lazima aikoroge kama simu za mezani za zamani.
Wakuu mi nadhani tunasahau au tunakosea kitu kimoja. Kumjuua mpenzi/mke wako ni muhimu sana
lwa mfano , enzi hizo za 'ujana wako' ukichunguza, utakuta sawa ulikuwa unapiga 'bao nyingi' lakini sio za kiufundi na kwa hiyo ulikuwa pengine humfurahishi/fikishi mwenzi wako,
Ni bora mara mia ukapiga bao moja la kiufundi, la muda mrefu, tamu, ambalo wakati wewe unafika mara moja, wa 'ubani' wako anakuwa ameshafika hata zaidi ya mara moja/mbili/tatu kutegemea na hali halisi ya mazingira.
Kuna suala pia la wewe kumwona mke wako kama 'mama watoto' ambayo kwa upande wangu ni kosa kubwa...endelea kumwona kama ni mpenzi wako, mpya kabisa, na mnaendelea kufanya 'kila kitu' ambacho kilikuwa kinafanyika kabla ya kupata watoto..namna hiyo mtakuwa na raha na 'mood' ya kufanya mapenzi itaendelea kuwepo.
Ukijifanya kuwa sasa uko busy na kazi, eti na watoto wapo sasa inabidi ada za shule, mara ujenzi wa kibanda, mara nini, utajikuta unakuwa na msongo wa mawazo (stress) na bahati mbaya hivi vitu haviendani linapokuja suala la mapenzi.
Sisemi kuwa tusiwajibike, ila tuwajibike tukijua kuna wajibu mwingine unatusubiri unaohitajin ulinganifu wa majikumu ya kawaida na ya kitandani.
Niseme kwamba mkuu fundi huna tatizo, ni kiasi tu cha kubadili 'mfumo wa maisha', na kupiga bao nyingi sio afya wala ufundi, ufundi ni kumridhisha mwanamke...eeeeh.....hapo ndipo uanaume wako unapoonekana!
Mkuu Mbu hebu ongezea kidogo chukua kipaza sauti..............
...kinachokatisha tamaa siku unapokuwa na kastamina ka kucheza extra minutes mama nanihii ananyosha kibendera juu, "...mnh, imetosha kha!"
bora hivyo hivyo, 90mins halafu usingizi mworrrrrroooo ro!
Mkuu huyo wa hivyo anakuwa hajafurahia mechi, mbona wengine tunatamanishwa kuendelea usiku mchana, yaani gemu lisiishe? lazima kunakuwa na tatizo mahali!
...No comment, Anything I do say may be used against me in a court of law :D