Jamani c utani.mwaka wa kwanza nilipooa nilikuwa naweza piga raund kama nne hivi na my wyf.lakini baada ya mwaka ama miwili shoti moja tu nalala kama gogo.je? wadau niko peke yangu ama hiyo ndio siri ya usingizi??
Sasa ndugu yangu na wale mapacha wanaokuchanganya mtaani kwenu itakuwaje? kumbe umeoa!!!!
Anyway...
Majukumu mwili na akili inakuwa imechoka, unatafuta bao moja lausingizi basi. Mimi nina miaka 7 katika ndoa mwaka jana niliumwa kwa miezi kadhaa, nikashindwa kukutana na mume wangu, cku moja nikaamua kumwambia jinsi ninavyoumia kwa kutompa........ , akanijibu sio issue hata yeye hana hamu ya........ kabisa cku hizi, mmh nilishangaa na bado sijapata jibu inawezekana kweli as young, energetic hata 40 yrs bado!!! naomba ushauri
while not rulling out other possibilities, niseme tu kwamba huenda kuumwa kwako pia kumemwathiri sana kisaikolojia, ijapokuwa hujawa wazi sana kama wakati unaumwa alikuwa na wewe au la? na je zamani ilikuwaje, nk, huenda kama ukipona kabisa, mambo yatarudi kama mwanzoni....ni suala la muda tu...na je mna watoto?
Wakati wa kuumwa kwangu tuko wote and he was taking care of me...Zamani ilikuwa superb am ready... he is ready to go....ila cku hizi du ufanye kazi kidogo. Labda mambo yatarudi kama mwanzoni. Tuna watoto wawili, lastborn ana miaka 3.