sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,501
- 2,935
Nadhani hili lisitokee tena Tanzania, kama zanzibar wanataka nawao kuongoza Tanzania basi waondoe utaratibu wa kuwa na rais wa zanzibar. Haiwezekani nchi ikawa na marais 2 halafu wote wanatoka upande mmoja wa muungano.Ndo faida ya kutoa marais wawili sehemu moja hiyo
Naomba kujua sio kwa ubaya pia kwanini Tanzania bara na Zanzibar bei ya mafuta zinapishana sana?
Bei ya Tanzania 4000 lakini Zanzibar ni 2900
Sisi ni nchi moja ila kwann tunatofaut kubwa sana hapa,
Kwann mamlaka zetu wajifunze kwa wenzetu?
Nadhani hili lisitokee tena Tanzania, kama zanzibar wanataka nawao kuongoza Tanzania basi waondoe utaratibu wa kuwa na rais wa zanzibar. Haiwezekani nchi ikawa na marais 2 halafu wote wanatoka upande mmoja wa muungano.
Ni hatari kweli unashindwa kuelewa tunakoelekea!Kwani Mwinyi ni Mzanzibari ?
Mkuu mambo ya CCM kuyaelewa ni ngumu sana, Kila siku raisi wa Zanzibar anachaguliwa Chamwino unafikiri Zanzibar wanafurahi?