Je, ni kweli Chumvi na Mkaa huzuia nguvu za giza?

mheshimiwamtemi

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
291
Reaction score
218
Bado sijajua siri iliyojificha kwenye chumvi na mkaa. Wengi hutumia kama kinga dhidi ya uchawi na ushirikina. Wengine huweka kitandani au nani ya unga na mchele ili kuzuia chuma ulete.

Matumizi ya mkaa na chumvi yanajulikana kite kama kinga dhidi ya nguvu za Giza. Swali ni je kuna nini ndani ya mkaa na chumvi hat izuie uchawi na ushirikina, au mkaa na chumvi ni ushirikina pia?

Karibu
 
Dawa ya uchawi na wachawi ni Yesu Kristo pekee. Jifunze kutumia nguvu na mamlaka kutoka kwa Yesu na utakuwa juu ya wachawi na uchawi wao.
 

Wachawi watakujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…