figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tupo wengi.. Nadhani hawakutaka wajue kwamba watu vitanda vilijaa Muhimbili.. Kwamba damu iliwaishia ikafuatwa ya MloganzilaUmeiangalia juu juu sana mkuu, hiyo damu hata mngechanga haingesaidia chochote kile kwenye hiyo siku..
Damu ina process zake ili mgonjwa apewe....
Naomba unielewe mkuu,Tupo wengi.. Nadhani hawakutaka wajue kwamba watu vitanda vilijaa Muhimbili.. Kwamba damu iliwaishia ikafuatwa ya Mloganzila
NdioWaseme tukachangie damu.
Sijui kama wamekuelewa watu wana mihemko sanaNaomba unielewe mkuu,
Kwanza pole kwa machungu yanayotusibu hiki kipindi cha uchaguzi.
Utaratibu wa damu huwezi kuchangia mda huo huo alafu umpe mgonjwa, lazima ichakatwe kwa siku kadhaa ndo mtu anaweza kupewa hiyo damu,
Kwa hiyo hata mngechanga damu lita million 90, bado majeruhi wangekosa damu tu.
Kitu cha kufahamu zaidi ni kwamba, watu wajitoe kuchangia damu kila siku,
Yes, Mambo mengine watu huzani ni rahisi kama wanavyofikiria kichwani mwao.Sijui kama wamekuelewa watu wana mihemko sana
Kama kweli wanataka kuchangia waanze sasa
Isije wakadhani wanawaokoa majeruhi kumbe wanawaua kwa HIV.....
Mnataka kusema.....!!!!🤨
story za mange acheni kutuletea huku banaInadaiwa watu wengi walio kufa Hospitali ni kwasababu ya damu kuwaishia. Maandamano ya Uchaguzi mkuu wa 2025 ambao Samia aliamua kuubaka, uliua watu wengi kwa kuishiwa damu
Ajabu hawajasema tukajitoolee damu.
Wauguzi walitumiwa meseji za kuwashukuru kwa kujitolea kuwauguza na kuwatia faraja wagonjwa.
Hili swala lisijirudie.. Wauguzi ni wwatu wema. Msiogope wanasiasa.. Semeni tu..
Amana, Mwananyamala na Muhimbili, mungeomba msaada tuchangie dammu