Je, ni kweli damu ya hedhi (MP) haibebi VVU siku ya hedhi kwa mwadhirika!?

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,684
Reaction score
2,156
Wana jamvi, leo tulikuwa na ubishi juu ya maambukizi ya ukimwi, jambo tuliloshindwa kufikia muafaka ni kuhusu damu inayotoka siku ya hedhi, naomba nililete kwenu ki hivi; inasemekana kuna uwezekano wa mama mwenye VVU Kujifungua mtoto aliyesalama, na ni kweli kuwa mtoto ni matokeo ya yai lililorutubishwa na mbegu za kiume ambapo yai hilo lisiporutubishwa hutoka kama damu siku ya hedhi! sasa je, endapo mwanamke ameadhirika yai linalotoka kama damu siku ya hedhi,damu ile ina VVU au la!? nawasilisha!
 
Nyongeza; na kama damu hiyo ina VVU, kwanini mama mwenye VVU anaweza kubeba mimba ya mtoto aliyesalama!?

cc. Mzizi Mkavu
 
Pole kiongozi kama umemla demu aliyekuwa kwenye hedhi andika umeumia,nini damu hata mate yana vvu!
 
Hatuogopi ukimwi. Tunaogopa kisukari tuu
 
Mkuu King Kong III, Kifulambute, mrskhoory, na bucho; ni vema kuelewa mada vizuri! Lengo kuu ni kuongeza/kupanua uelewa wa jambo hilo! haina maana kuwa mleta mada anaogopa au haogopi maambukizi ya ukimwi kuliko magonjwa mengine! Nasisitiza tena; kikubwa ni kupanua uelewa! watu wanakuwa maproffesa kwa kufanya research ambazo kwa wengine zinaonekana za kijinga! Assume we ni mwalimu, halafu umeulizwa swali kama hilo na mwanafunzi mdadisi sana darasani! utajibu kama ulivyojibu hapa!? Karibuni tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…