Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

distance hiyo usiombe akakutana na vijana wanaojua kula udamvu udamvu#lazima aliwe lbda awe malaika atapona napo aoneshe mabawa akificha wanapitia chezea wana koromijeee ww
 
Distance is not a barrier, communication is key [emoji360]. Ila ni muhimu kukutana mara kwa mara mnapoweza. Unakuwa msafiri kafiri. Kale kawimbo Ka Celine Dion "I drove all night, to get to you" kanakupa motivation. Mahusiano ya mbali ni mazuri pale wawili wanakuwa na open lines of communication.
 
Hebu funguka ... kivp ni kikwazo mkuu?
Uaminifu unapungua, mfano sisi wanaume wengi hatuwesi kukaa muda mrefu bila kusex, sasa ukikutana na mwanamke mwingine "MKALI" ni rahisi kusaliti mahusiano, kwa wanawake mara nyingi wakikosa kampani (physically) ni rahisi sana kudanganyika na kuchukuliwa na wengine, kuna kipindi unaweza pata demu mzuri mpk ukajishangaa kakupendea nn sometimes ni sababu jamaa yake yuko mbali........
 
Back
Top Bottom