Je ni kweli Diva na Bob Junior ni wapenzi?

Je ni kweli Diva na Bob Junior ni wapenzi?

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
PICHA HII KAIWEKA DIVA KATIKA UKURASA WAKE NA KAMTAG BOB JUNIOR KATIKA PICHA HIYO JE NI KWELI DIVA ANATOKA NA BOB JUNIOR????
Yetu Macho
 
warumi ebu fatilia kama GK na Diva kimekuna
 
Last edited by a moderator:
Hivi Si ndo anaeongoza kwa Umaraya mpaka sasa !

Au wapo wakumfikia !
 
Kuna wimbo mpya diva kamshirikisha Bob unaitwa mashalah sio wapenzi diva anatoka GK
 
Anabusu punga ptuuuuuuuu

Eti unasema??!! Kwa hiyo hapo ni mambo ya African Stars,kutwanga na kupepeta bin kupakua??!! Basi videos zake ni kwa "promo" haswa kama ni kweli!!!
 
Huyo Msela mbona ni mlaini kumzidi Diva?
 
Jamaa ni mchelemchele? Mbona wabongo fleva wengi wanapumuliwa kisogoni?
 
Karudii lakiin anashea na mabashaaa
Dinazarde upunguze ugomvi na ujuaje utafkiri google lol....hahahhahaha weye ukipitiza siku hujaja hguku huumwi?

Hivi hubby alikusamehe?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom