Je, ni kweli Don Nalimison kuoa binti wa Kizungu kutoka Nchini Australia ambaye ni Tabibu anayeishi Marekani?

Je, ni kweli Don Nalimison kuoa binti wa Kizungu kutoka Nchini Australia ambaye ni Tabibu anayeishi Marekani?

Mimi sio Masqo. Hebu Soma hiiView attachment 1511116
Daah aisee wewe ni Mafia, yaani umeshabadilisha majina matano tofauti

-Kwenye NIDA jina tofauti
-Kwenye kadi ya kupigia kura jina tofauti
-La ubatizo (RC) jina tofauti
-La kuzungimza kwenye Public meeting
Na lingine tena

Deogratius Nalimi Kisandu
Deogratius Pio Kisandu
Deogratius Pios Kisandu
Deogratius Kisandu Ikuya
Deogratius Mashaka Kisandu

Na dhehebu ukabadilisha pia

Sasa ni DON NALIMISON
 
hapo NIDA wenyewe wamezima taa maamae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unasemaje pale mwisho???
IMG-20200720-WA0045.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom