Je, ni kweli Dr. Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar? Je, Karl Peters alisali KKKT Azania Front?

 

Attachments

  • Screenshot_20240426-115239.png
    92.1 KB · Views: 4
Kama dk Karl peters alikuwa mluteri na alikuwepo Dar Es Salaam hadi 1902 ambako kanisa lilianza kutumika basi Dk alisali hapo.
 
hapa mwanasiasa yyte kutk zanzibar akisema znz ilikuwepo kabla tanganyika utasikia wa zanzibar wabaguzi lkn kumbe ukweli mnajua zanzibar inajulikana kitambo wako mbele ila uvumilivo wao unawapoza kinacho shangaza wtu hawajui uzito wa znz kwny muungano zunguuka unavo zungu uka znz huwez kuikimbia kwa usitawi wa tzn siku wa znz watapo amka kuitaka znz yao itakua shida ila teknollojia haidanganyi mtasema wenyew na ndio mweny akili hawez kubisha hilo

swali langu ukirist ulianza dheheb gn tzn na mkoa gn?
 
Hata ukristo ulianzia Zanzibar,enzi hizo mamlaka pekee iliyokuwa rasmi inatambulika kwa wakubwa wa Ulayana hata America ilikuwa ni usultan wa Zanzibar na Oman na baada ya 1856 ni usultan wa Zanzibar.Kila akiyetaka kuingia mriama lazima apite Zanzibar.Unapewa ruksa,ulinzi na wasaidizi ndo unaingia bara.Wamionari waliweka vituo Zanzibar kabla ya kuja bara.Shule ya minaki ilianzia Kiungqni Zanzibar kabla ya kuhamishiwa Kisarawe.Kuhusu madhehebu gani lilikuwa lakwanza ngumu kujua kwani wote waliikuja wakati mmoja lakini waliwka vituo maeneo tofauti tofauti.
 
Carl Peters aliondolewa kwenye utawala wa Afrika Mashariki ya ujeruman 1888 baada ya vita vya Abushir.Alipelekwa Zanzibar na akapewa kazi ya kuweka mpaka kati ya GEA na BEA,baadaye alisababisha maafa kule Kilimnjro wajeruman wakaja kuchapwa na mangi Meli.Ikabidi arudishwe kwao alipata kashfa nyingi sana.Baadaye alienda Msumbiji na yaliyompata baada ya hapo nenda google.ltoshe kusema hadi 1901 Carl Peters hakuwepo Dar wala Tanganyka hivyo asingeweza kusali Azania Front iliyoanza kutumika 1902,labda kama kulikuwa na kanisa dogo kabla lilivunjwa na kujengwa hilo la 1902.
 
Google inatamka wazi Peters alikuwa mtoto wa mchungaji wa kiluteri.Alipopelekwa Kilimanjaro ni kweli aliua sana akina mangi na kuna jamaa lilingia bomani likachakata mmoja wa mademu zake,Dk alimnyonga jamaa hadharani.Alimnyonga pia mmoja wa mademu zake aliyemhisi kuwa spy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…