Hata ukristo ulianzia Zanzibar,enzi hizo mamlaka pekee iliyokuwa rasmi inatambulika kwa wakubwa wa Ulayana hata America ilikuwa ni usultan wa Zanzibar na Oman na baada ya 1856 ni usultan wa Zanzibar.Kila akiyetaka kuingia mriama lazima apite Zanzibar.Unapewa ruksa,ulinzi na wasaidizi ndo unaingia bara.Wamionari waliweka vituo Zanzibar kabla ya kuja bara.Shule ya minaki ilianzia Kiungqni Zanzibar kabla ya kuhamishiwa Kisarawe.Kuhusu madhehebu gani lilikuwa lakwanza ngumu kujua kwani wote waliikuja wakati mmoja lakini waliwka vituo maeneo tofauti tofauti.