Je, ni kweli Emmanuel Eboue anataka kujinyonga?

Je, ni kweli Emmanuel Eboue anataka kujinyonga?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Wakuu hebu mwenye taarifa kamili ya huyu mchezaji wa Ivory coast, Emmanuel Eboue atujuze.

Nasikia kuwa amedhulumiwa mihela yake yoooote na mkewe wa kidhungu sasa anaona heri ajitoe uhai wake kwa ukata. Hii ikoje?

Nawasilisha.
 
Kujinyonga haito saidia chochote, ila kama kaamua hivyo basi afanye haraka sana.
 
Angekuwa bongo huyu angeishajiua mapema sana ! Mogella wanataka kumtimua kota za.urafiki wala hajafikiria hata kujinyoa nywele !
 
Back
Top Bottom