Je, Ni Kweli Emmanuel Okwi Kutua Kaizer Chiefs.

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
3,030
Reaction score
4,647
Kwa anayejua atupe Taarifa kamili wakuu....hii nimeiona leo kwenye site fulani hivi. Ila kama itakuwa ni kweli Jamaa watakuwa wamelamba Dume coz Shughuli ya Emma inafit sana pale bondeni.
 
Wamechoka sana kwa sasa. Simba ianze kutafuta watu wapya kwenye safu ya ushambuliaji.
Ni kweli mkuu lazma timu iwe na Alternative Finishers kwamba hata ikitokea situation kama hii huanzi upya bali unaprogress tu na wengine.
 
Salamba hajawa wa kuaminiwa, Kichuya naye kuna mdau niliona humu kaweka taarifa zake kuwa ya Tanga inamharibu sijui kawaje siku hizi.
Aisee halafu kweli salamba bado hajatuliza kichwa japo ni striker mzuri sana...kuhusu ishu ya kichuya kupenda 0715..nimeisikia ila sina hakika kama inapelekea kuporomosha kiwango chake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kiwango chake kiko chini kwa sasa. Ila hii ilikuwa nafasi ya wao kuonesha kuwa wanaweza ila wanakubali kupigwa na Mashujaa sasa watapewa mechi zipi!

0713 atajua mwenyewe, ila jana mdau mmoja alisema hilo humu.
 
Kiukweli inasikitisha sana... kama ni kweli basi hiyo inayomtafuna itakuwa ni laana ya kupenda "Mitaro" ovyo.
 
Wachezaji wa Simba wanakosa nini hadi washindwe kuonesha thamani ya timu?

Timu ya Yanga inaweza kuvumilia vikwazo zaidi ya Simba hilo liko wazi, hii hali waliyonayo Yanga ingekuwa kwetu hakika tungekuwa tunajinasua kwenye nafasi ya 10 sasa hivi.

Sijui huwa tunakosea wapi mkuu...kifupi ni kwamba mechi ya jana imeniuma kuliko maelezo.
 
Back
Top Bottom