Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Dida =Amber ruty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui huwa tunakosea wapi mkuu...kifupi ni kwamba mechi ya jana imeniuma kuliko maelezo.
Halafu aje naniAishi manula na dida waende pia
Pole sana mtaniSijui huwa tunakosea wapi mkuu...kifupi ni kwamba mechi ya jana imeniuma kuliko maelezo.
Dirisha la usajili halijafungwa mkuu?Kwanini asiruhusiwe mkuu...imagine Chiefs Wakaweka milioni 300 unadhani simba watazikataa?
Doh!! Kwenye ligi vyura wameamua mkuu...ilibidi tukaze FA ila wachezaji wakaidharau Mashujaa...Nadhani wachezaji wetu wanalitafsri vibaya neno "Nidhamu ya mchezo".Ligi kuu bado hatuna uhakika wa kuchukua hii mechi ilitakiwa tushinde.
Doh!! Kwenye ligi vyura wameamua mkuu...ilibidi tukaze FA ila wachezaji wakaidharau Mashujaa...Nadhani wachezaji wetu wanalitafsri vibaya neno "Nidhamu ya mchezo".
Nafasi yetu kimataifa ishakuwa finyu
Kichuya alisharidhika! Maisha yetu ya kibongo mchezaji akishajenga nyumba tu! Basi anaona keshamalizaSalamba hajawa wa kuaminiwa, Kichuya sijui kawaje siku hizi.
Kiwango chake kimeshuka sana. Akijua hilo mapema ni vizuri ili aanze kujipanga upya.Kichuya alisharidhika! Maisha yetu ya kibongo mchezaji akishajenga nyumba tu! Basi anaona keshamaliza
Kichuya sa iv hadi mwili kajiachia ananenepeana hovyo tu!
Yap...anapaswa apewe wake up call!!Kiwango chake kimeshuka sana. Akijua hilo mapema ni vizuri ili aanze kujipanga upya.