Je, Ni Kweli Emmanuel Okwi Kutua Kaizer Chiefs.

Dirisha la usajili halijafungwa mkuu?
Bila shaka hapo bondeni la kwao halijafungwa...sina hakika sana na hapa kwetu kama bado TFF hawajalifunga au la.
 
Ligi kuu bado hatuna uhakika wa kuchukua hii mechi ilitakiwa tushinde.
Doh!! Kwenye ligi vyura wameamua mkuu...ilibidi tukaze FA ila wachezaji wakaidharau Mashujaa...Nadhani wachezaji wetu wanalitafsri vibaya neno "Nidhamu ya mchezo".
 
Watajua wenyewe, ilikuwa kwa faida yao ila wameamua kuwa wapuuzi.
Doh!! Kwenye ligi vyura wameamua mkuu...ilibidi tukaze FA ila wachezaji wakaidharau Mashujaa...Nadhani wachezaji wetu wanalitafsri vibaya neno "Nidhamu ya mchezo".
 
Salamba hajawa wa kuaminiwa, Kichuya sijui kawaje siku hizi.
Kichuya alisharidhika! Maisha yetu ya kibongo mchezaji akishajenga nyumba tu! Basi anaona keshamaliza

Kichuya sa iv hadi mwili kajiachia ananenepeana hovyo tu!
 
Kichuya alisharidhika! Maisha yetu ya kibongo mchezaji akishajenga nyumba tu! Basi anaona keshamaliza

Kichuya sa iv hadi mwili kajiachia ananenepeana hovyo tu!
Kiwango chake kimeshuka sana. Akijua hilo mapema ni vizuri ili aanze kujipanga upya.
 
Kiwango chake kimeshuka sana. Akijua hilo mapema ni vizuri ili aanze kujipanga upya.
Yap...anapaswa apewe wake up call!!

Wamtishie hta kumpeleka kwa mkopo timu nyingine huenda atashtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…