Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Penye mali lazima kuwe nyoka. Hii haijadiliwi sana kwenye imani tulizopo nazo ila sehemu za upande wa nguvu za giza nyoka ni ishara ya utajiri na mali n.k.
Kwenye pesa ishara nembo nyoka yupo,kwenye kila jambo lenye mafanikio nyoka utumika. Si wageni kusikia story au mengineyo sehemu yenye mali kama madini kuwa na nyoka wengi.
Nyoka huyu kila kabila umtaja kwa jina lake. Na kumbuka miaka ya nyuma nilikutana na mjapani akinieleza kuhusu nyoka wao wanao muamini kwa jina dragoni ambao wao wanadai yupo congo na kama ukibahatika kumpata tegemea kuwa na nguvu kubwa.
Upande wa wanaoamini kiimani wanadai nyoka huyu alikuwa kwenye fimbo ya musa na baada ya kujigeuza kwenda kuishi congo. Farao alitaka ile fimbo kwa mussa aya kuongelewa makubaliano kipindi kile ni kweli.