Je ni kweli focus vikoba wanaweza kukupa mkopo ndani ya dakika 55 tena bila riba?

Je ni kweli focus vikoba wanaweza kukupa mkopo ndani ya dakika 55 tena bila riba?

Kwa iyo laki sita ujawafuatilia??

tatizo la wengi wetu huwa tukulizwa tunanyamaza au tunapiga nguo chini kama alivyofanya Mamndenyi.

hawa jamaa si wa kuwaacha hata kidogo! ndio maana wakati mwengine nawapongeza wale ndugu zangu wanaouza ng'ombe kwa kesi ya kuku..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom