Kafara JF-Expert Member Joined Feb 17, 2007 Posts 1,396 Reaction score 425 Feb 22, 2015 #21 John Gelas said: Kwa iyo laki sita ujawafuatilia?? Click to expand... tatizo la wengi wetu huwa tukulizwa tunanyamaza au tunapiga nguo chini kama alivyofanya Mamndenyi. hawa jamaa si wa kuwaacha hata kidogo! ndio maana wakati mwengine nawapongeza wale ndugu zangu wanaouza ng'ombe kwa kesi ya kuku.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
John Gelas said: Kwa iyo laki sita ujawafuatilia?? Click to expand... tatizo la wengi wetu huwa tukulizwa tunanyamaza au tunapiga nguo chini kama alivyofanya Mamndenyi. hawa jamaa si wa kuwaacha hata kidogo! ndio maana wakati mwengine nawapongeza wale ndugu zangu wanaouza ng'ombe kwa kesi ya kuku..