Je ni kweli hakuna wa peke yako?

Je ni kweli hakuna wa peke yako?

Jamani mbona ukoloni unarudi...........leo tu nimesoma mtoto kapewa mimba kisa CL na blackberry hapo bado wanaoliwa tigo hawajafunguka.

Yaani vizee vinafanya kila dark sexual fantansy kwa dada zetu............

Hivi hakuna mafataki wa Kimatumbi?
 
Nina mishale na gobole za kisasa
huhitaji kulenga
mshale unamkimbiza umtakaye
zina kaulimbo ka tageti yako

Xmass hii vipi tukawind nini au tusubiri hadi mwakani wakija summer holiday? naskia ukitaka mzungu inabidi uwe mtokaji na sio mkaa ndani...au muendaji wa ngwasuma....
 
Nina mishale na gobole za kisasa
huhitaji kulenga
mshale unamkimbiza umtakaye
zina kaulimbo ka tageti yako

Nimekusoma kongosho, nipe maujanja basi, si unajua tena mangelization at work!!
 
mpango mzima...super mix,lol
:smash::smash::smash:😛hoto:
381212_257565554305059_100001548481590_720095_713571810_n.jpg
Salamu ziwafikie popote mlipo, pia poleni na majukumu ya kila siku.

Siku hizi hii kauli ninaiskia sana kwa wenzangu kwamba "eti siku hizi hakuna wa peke yako" na wanaongeza kuwa "ukimtaka wa peke yako muumbe au mzae mwenyewe", hivi kuna ukweli kwenye hili?

Mimi binafsi inaniuma sana..... kwamba kama ni kweli yani ndio tumefikia huko kwa kujustify maisha ya kukosa uaminifu??
 
mpango mzima...super mix,lol
:smash::smash::smash:😛hoto:
381212_257565554305059_100001548481590_720095_713571810_n.jpg

King'ast umeniumiza mbavu zangu kwa kucheka...na hilo chapati hadi limemfunika mtoto wa watu, watu wanatest ladha hata ambazo hazitestiki jaman....
 
kwa wazungu na mabara mengine yupo wa peke yako,ila kwa wabongo hakuna......si umeziona thread za mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni 'nature' hapo ndipo walipofikia mwenzio.....sasa wewe kama una akili zako utachanganya na zako kisa cha kuwa na mwanaume mwenye mawazo finyu kama hayo???....babu tusizeeshane eeeeh......wazungu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
...........Hivi ulishawahi kuishi na wazungu? Aisee kama mtu hujawahi kuishi na wazungu, utafikiri wenyewe wapo perfect kumbe hakuna lolote.
 
Tatizo wanaume wanatafuta 'full package', yaani wanataka msichana mwenye macho mazuri, pua nzuri, midomo mizuri, masikio mazuri, kucha nzuri, nywele ndefu, hips na makalio mazuri, miguu ya bia, tabia nzuri, mzuri kitandani. Kama unavyo vyote hivyo ujue utakuwa wake peke yako vinginevyo huyo mwanaume awe ni mwenye kujiheshimu na kuridhika na aliyenae.
 
You are very smart my dear...
 
mmh waaminifu wapo ndugu yangu.... ila t seems watakuwa wachache sana yan, cz kama ukichunguza wanaume wengi humu(weng wenu ) mlitetea na kusema mtaenda kuapply kwenye ule uzi wa boss
kwaio kwa haraka haraka wengi wao sio waaminifu wanaentern hayo mambo ya mpango wa pemben aka an escot inapelekea na upande mwingine pia utibuke ivo cku iz mwenzangu mambo ni changaniken. kaz ni kwako 2
 
mtoto anaskia baridi huyo, kwa hiyo amepumzika hapo ukimaliza kula chapoo atakuwa warm enough:eyebrows:
King'ast umeniumiza mbavu zangu kwa kucheka...na hilo chapati hadi limemfunika mtoto wa watu, watu wanatest ladha hata ambazo hazitestiki jaman....
 
ni jinsi utakavyopanga na kuamua. ukiamua kuwa mwaminifu na ukampata mwaminifu, inawezekana kuwa na wa peke yako.

ukiamua kuolewa ndoa ya wake wenza, huko hakuna cha peke yako, ni mtindo wa tulia tugawe kwa kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:
full package unaitoa wapi asante hus watu tunapenda jidanganya sana
Tatizo wanaume wanatafuta 'full package', yaani wanataka msichana mwenye macho mazuri, pua nzuri, midomo mizuri, masikio mazuri, kucha nzuri, nywele ndefu, hips na makalio mazuri, miguu ya bia, tabia nzuri, mzuri kitandani. Kama unavyo vyote hivyo ujue utakuwa wake peke yako vinginevyo huyo mwanaume awe ni mwenye kujiheshimu na kuridhika na aliyenae.
 
jamani dunia ya saa hivi hamna mapenzi ya kweli wanaume waongo jamani sie wanawake tunavumilia mengi wanaume wanaenja nje sana mpaka wanatusaliti sie wake wanatuona kama mavi tu ahh

poule aisee,
 
Back
Top Bottom