Jacob wa bush
New Member
- Mar 30, 2019
- 2
- 2
Niliwah kushiriki kwenye kamati ya harusi ya mtu Wang wa karibu, ilikua ni Mara ya kwanza kwangu kushiriki ktk kamati ya maandalizi ya harusi nilijifunza Mambo mengi lakin kitu kilichoniacha mdomo wazi ni gharama ya harusi kwa Zama hizi, budget ya harusi ilikua km hivi:
*Mapambo mil 1
*Picha laki 9
*Usafiri mil 1
* Ukumbi laki 8
*Keki laki 5 nk
Kwa Mambo yote ili coast km milioni kumi kwa minimum coast, eb tujadili kwa mtu mwenye maisha ya Hali ya chini ukiacha matajiri unaweza kuzichanga Kisha unakuja kuziteketeza kwa siku moja, Kuna mshkaj nilimuuliza hili swali akaniambia harusi ni mtaji je unakubaliana na hii hoja, et zawad znaweza kuvuka gharama ya harusi?