Ww mwenyewe unaona ya kweli haya maneno?
Inasemekana hivyo
Chanel 10, kipindi kinaitwa Nyota Zetu alikua ana tabiri, na baadhi ya tabiri zake sio zote zilikua kweli moja ya kitu ambacho alishindwa kututabiria ni siku yake ya kufa ila alitabiri viongozi kufa alitabiri kuhusu wasanii na mahusiano yao, watu walikua wanauliza maswali na yeye alikua anajibu maswali kwa kutabiri ndicho alichokua anakifanya wakati ule, kwa hio swali linakuja yeye analijibu km lilivyokuja na hio kauli aliitoa alipokua anajibu moja ya swali aliloulizwa, nilikuwepo mbele ya Luninga wakati huoWw mwenyewe unaona ya kweli haya maneno?
Haijalishi yametoka kwa Yahya au Yakobo sisi tunaishi na utabiri
Iyo kauli ilianza kutembea since alivokufa magufuli 2021 imesambaa sana kwenye wasap groups huko ni maneno tu hayana ukweli wowoteChanel 10, kipindi kinaitwa Nyota Zetu alikua ana tabiri, na baadhi ya tabiri zake sio zote zilikua kweli moja ya kitu ambacho alishindwa kututabiria ni siku yake ya kufa ila alitabiri viongozi kufa alitabiri kuhusu wasanii na mahusiano yao, watu walikua wanauliza maswali na yeye alikua anajibu maswali kwa kutabiri ndicho alichokua anakifanya wakati ule, kwa hio swali linakuja yeye analijibu km lilivyokuja na hio kauli aliitoa alipokua anajibu moja ya swali aliloulizwa, nilikuwepo mbele ya Luninga wakati huo
😂😂😂😂😂😂😂Haijalishi yametoka kwa Yahya au Yakobo sisi tunaishi na utabiri
Wewe kipindi kile ana tabiri ulikuwepo ulikuwepo miaka hio 2008,2009,2010,2011 tunanunua magazeti wewe ulikuwepo?Iyo kauli ilianza kutembea since alivokufa magufuli 2021 imesambaa sana kwenye wasap groups huko ni maneno tu hayana ukweli wowote
Sawa mtachukua nchiWewe kipindi kile ana tabiri ulikuwepo ulikuwepo miaka hio 2008,2009,2010,2011 tunanunua magazeti wewe ulikuwepo?