Je ni kweli haya maneno yalitoka kinywani mwa sheikh yahaya au ni stori tu?

Ww mwenyewe unaona ya kweli haya maneno?
Chanel 10, kipindi kinaitwa Nyota Zetu alikua ana tabiri, na baadhi ya tabiri zake sio zote zilikua kweli moja ya kitu ambacho alishindwa kututabiria ni siku yake ya kufa ila alitabiri viongozi kufa alitabiri kuhusu wasanii na mahusiano yao, watu walikua wanauliza maswali na yeye alikua anajibu maswali kwa kutabiri ndicho alichokua anakifanya wakati ule, kwa hio swali linakuja yeye analijibu km lilivyokuja na hio kauli aliitoa alipokua anajibu moja ya swali aliloulizwa, nilikuwepo mbele ya Luninga wakati huo
 
Iyo kauli ilianza kutembea since alivokufa magufuli 2021 imesambaa sana kwenye wasap groups huko ni maneno tu hayana ukweli wowote
 
Iyo kauli ilianza kutembea since alivokufa magufuli 2021 imesambaa sana kwenye wasap groups huko ni maneno tu hayana ukweli wowote
Wewe kipindi kile ana tabiri ulikuwepo ulikuwepo miaka hio 2008,2009,2010,2011 tunanunua magazeti wewe ulikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…