Je, ni kweli hili jambo linafanyika kimya kimya huko Tamisemi?

Hili jambo si geni, lina mizizi tayari. Rudisha kumbukumbu zako kwa mlio hitimu nao walio kuwa na majina ya nasaba za kigogo yeyote. Hakuna interview walio hudhuria na wanakazi nzuri serikalini. Jkt imesitishwa kwa 'uhuni' kama huo. Wanao jitolea wamo watoto wa wakubwa na ndio hupewa nafasi za kazi zikitokea.
 
Leta uthibitishoo. Vinginevyo, hizo ni porojoo

Your browser is not able to display this video.

Sikiliza hiyo video kisha twambie walimu 5000 anaosema PM kwamba wamesambazwa wiki mbili zilizopita wameajiriwa kwa utaratibu upi?
 
Attachments

  • VID-20210211-WA0009.mp4
    3.1 MB
View attachment 1711198
Sikiliza hiyo video kisha twambie walimu 5000 anaosema PM kwamba wamesambazwa wiki mbili zilizopita wameajiriwa kwa utaratibu upi?
Unakumbuka kama nafasi zilizotangazwa mwanzoni kuwa ilikuwa elfu kumina tatu, halafu awamu yakwanza wakaenda elfu nane? Sasa si ndio inamalizika hiyo elfu tano? Ilikutimiza elfu kumi na tatuu?? Au nimesema uongo ndugu zangu??. Halafu inawezekana kule wizarani wanawatu wengi walioomba, hivyo nikuchomoa tuu kutoka mwa watu wengiii. We we leta jina LA mwajiriwa hata mumoja ambae ameajiriwa bila kutuma maombiiii.
 
Lakini kawaida lazima ajira zote zitangazwe hadharani sasa elfu tano walioajiriwa kutimiza idadi ya walimu elfu kumi na tatu wameajiriwa kwa utaratibu upi?kama ni kimya kimya unachopinga kwenye uzi huu ni nini sasa?
 
Si walitangaza elfu 13, awanu ya kwanza elfu8 na si ndo watakuwa wamemalizia hao elfu 5 kutimiza idadi kamili?? Au hukuomba kipindi kilee??
 
Walimu mbona mnafikiria kuajiliwa tu? Tz vyuo vinatoa walimu pekee? Mtu kasoma arts nae anataka ajira dunia ya Leo! Tamisemi kama kweli ajira mnazo ajirini walimu wa sayansi tu.
 
OK za kuambiwa tunachanganya na za shuleni
 
Si walitangaza elfu 13, awanu ya kwanza elfu8 na si ndo watakuwa wamemalizia hao elfu 5 kutimiza idadi kamili?? Au hukuomba kipindi kilee??
Kwahiyo umekiri kwamba ajira zimetolewa kimya kimya sa ulichokuwa unabisha ni nini?
 
Walimu mbona mnafikiria kuajiliwa tu? Tz vyuo vinatoa walimu pekee? Mtu kasoma arts nae anataka ajira dunia ya Leo! Tamisemi kama kweli ajira mnazo ajirini walimu wa sayansi tu.
Mkuu si na wewe ufungue uzi uzungumzie field yako kwani kuna aliye kuzuia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…