Je, ni kweli hizi dawa kurefusha uume zipo?

Je, ni kweli hizi dawa kurefusha uume zipo?

uongo hakuna ni upigaji wa pesa
Dogo nature has given everything, ni vile umechagua madawa ya famasi lakini isikufanye kujiona msomi ukadharau asili. Kila kitu kina mitishamba yake ni suala lankuijua tu. Kama haujui kaa kimya usijifanye daktari. Unaonekana mpumbavu unapokanusha kitu bila ushahidi halafu watu wapo na ushahidi wamekuangalia tu.
 
Ndugu yangu tabu yote ya nini,ukimaliza haja zako mwenzi wako bado tafuta li topaz mwongezee njia.
 
Kuna biashara hapa ila watu ni wasiri mnapiga pesa kimya kimya hamsemi
 
Ngoja nifanye mchakato nianze kutangaza ninayo insta,facebook,tiktok na X. hii nchi ina fursa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom