http://www.monitor.co.ug/SpecialRep...ge--and-how-Jinja--Tororo-fell/688342-2302304Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?
Kwamba kipindi cha idd amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata kichwa na kukiweka ndani ya Friji na kila akipata muda hufungua Friji na kukikebehi kichwa hicho?
Wajuzi mtufahamishe
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?
Kwamba kipindi cha idd amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata kichwa na kukiweka ndani ya Friji na kila akipata muda hufungua Friji na kukikebehi kichwa hicho?
Wajuzi mtufahamishe
Chinmbe chinembeeeeeee mnatumia simu vibaya badala ya kugoogle uangalie ukweli unaanza propaganda za kusafisha watu ,iddiamin ni moja ya watu katili hatari kuwHi kutokea angalia video zake you tube,acha kutetea ujinga
Acha ushamba....!kumbuka wkt ile technogy ya video ilikuwa hadimu.....!Weka hizo video zake za hatari tuone hapa, kinakushinda nini? Usituwekee cinema tu.
I
Tena inasemekana IDD AMIN alikuwa ni swala tano..muislam safi kabisa...mwaka 1978 alisaidiana na watekaji wa ndege wa kipalestina.. Walilazimisha ndege iliyokuwa inakwenda israel inatokea france..kama sijakosea....ikiwa na waisrael kibao..kutua UGANDA na KUWATEKA WAISRAEL waliokuwa wakienda kwao..na kushinikiza SERIKALI YA ISRAEL IONDOKE UKANDA WA GAZA....baadae WAISRAEL WAKAJA KUWAKOMBOA WATU WAO....wakiongozwa na KAMANDA NETANYAU.....hata ktk vita vya kagera AMIN alikuwa anasaidiwa na LIBYA na baadhi ya inchi za kiislam..na huku tanzania tukisaidiwa na wagalatia.. Kumpiga amin...na hata kukimbia alikimbilia saudi arabia..AMIN alikuwa muislam safi kabisa...asiye na shaka...tuliimbishwa mashuleni NDULI AMIN...JOKA KUU..majina yote mabaya alipewa...AMIN...Zilikuwa propaganda za chuki tu hizo.
aisee huyo ni bibi kifimbo cheza sio kijanaAcha ushamba....!kumbuka wkt ile technogy ya video ilikuwa hadimu.....!
Kama aliweza kuteka watu na kuwapakia kwenye tipa na kwenda kuwamwaga mtoni,nimesahau kdgo jina la mto,angeshindwa nini kukata vichwa vyao akiwa tiari ashawaua....
Na ukisubiri ushahidi wa video za Iddy Amin humu utakaa sana kijana.
mmmh!! kazi ipo sio kwa kumpamba hivyo.Tena inasemekana IDD AMIN alikuwa ni swala tano..muislam safi kabisa...mwaka 1978 alisaidiana na watekaji wa ndege wa kipalestina.. Walilazimisha ndege iliyokuwa inakwenda israel inatokea france..kama sijakosea....ikiwa na waisrael kibao..kutua UGANDA na KUWATEKA WAISRAEL waliokuwa wakienda kwao..na kushinikiza SERIKALI YA ISRAEL IONDOKE UKANDA WA GAZA....baadae WAISRAEL WAKAJA KUWAKOMBOA WATU WAO....wakiongozwa na KAMANDA NETANYAU.....hata ktk vita vya kagera AMIN alikuwa anasaidiwa na LIBYA na baadhi ya inchi za kiislam..na huku tanzania tukisaidiwa na wagalatia.. Kumpiga amin...na hata kukimbia alikimbilia saudi arabia..AMIN alikuwa muislam safi kabisa...asiye na shaka...tuliimbishwa mashuleni NDULI AMIN...JOKA KUU..majina yote mabaya alipewa...AMIN...
..nina uhakika angekuwa kama tulivyokuwa tunaaminishwa kama ni MUUAJI ASINGEPATA SUPPORT YA WAISLAM...TENA INASEMEKANA zilikuwa PROPAGANDA ZA MSALABA(roman Catholic) ndy viongozi wengi wa east africa walikuwa ROMAN CATHOLIC.. WAKATI ULE...ndy WALITAKA wamuondoe UGANDA.. KISA GADAFI alitaka kuweka chuo kikuu cha KIISLAM PALE UGANDA... WAKATI wagalatia wenyewe walishapanga yao...na alishaanza kujenga CHUO CHA KIISLAM.. GADAFI akakimalizia baada ya AMIN KUKIMBIA UGANDA...
Tena inasemekana IDD AMIN alikuwa ni swala tano..muislam safi kabisa...mwaka 1978 alisaidiana na watekaji wa ndege wa kipalestina.. Walilazimisha ndege iliyokuwa inakwenda israel inatokea france..kama sijakosea....ikiwa na waisrael kibao..kutua UGANDA na KUWATEKA WAISRAEL waliokuwa wakienda kwao..na kushinikiza SERIKALI YA ISRAEL IONDOKE UKANDA WA GAZA....baadae WAISRAEL WAKAJA KUWAKOMBOA WATU WAO....wakiongozwa na KAMANDA NETANYAU.....hata ktk vita vya kagera AMIN alikuwa anasaidiwa na LIBYA na baadhi ya inchi za kiislam..na huku tanzania tukisaidiwa na wagalatia.. Kumpiga amin...na hata kukimbia alikimbilia saudi arabia..AMIN alikuwa muislam safi kabisa...asiye na shaka...tuliimbishwa mashuleni NDULI AMIN...JOKA KUU..majina yote mabaya alipewa...AMIN...
..nina uhakika angekuwa kama tulivyokuwa tunaaminishwa kama ni MUUAJI ASINGEPATA SUPPORT YA WAISLAM...TENA INASEMEKANA zilikuwa PROPAGANDA ZA MSALABA(roman Catholic) ndy viongozi wengi wa east africa walikuwa ROMAN CATHOLIC.. WAKATI ULE...ndy WALITAKA wamuondoe UGANDA.. KISA GADAFI alitaka kuweka chuo kikuu cha KIISLAM PALE UGANDA... WAKATI wagalatia wenyewe walishapanga yao...na alishaanza kujenga CHUO CHA KIISLAM.. GADAFI akakimalizia baada ya AMIN KUKIMBIA UGANDA...
Kwani amin alipigwa alikuwa na kosa gani?ni chokochoko za wagalatia. Kumuondoa...ww fuatilia viongozi waliokuwa madarakani wakati huo..kenyaHapa ndipo inapothibitiska kwamba dini ya majambia ni dini ya mashetani na mamwagaji damu. Na ili mtu aifuate lazima awe pumvu kubwa.
Kwani amin alipigwa alikuwa na kosa gani?ni chokochoko za wagalatia. Kumuondoa...ww fuatilia viongozi waliokuwa madarakani wakati huo..kenya
.tanzania..uganda wote walikuwa roman Catholic... Na kisa ni kujengwa chuo cha kikuu cha KIISLAM.. Kisa hakuna..sasa kuna muuaji akajenga chuo cha dini?
Wana miss kipi/yapi kutoka kwa Nduli Idd Amin Dada?Si kweli hiyo ilikuwa ni propaganda ya maadui wa utawala wa Idd Amini mpaka hii leo waganda wanajuta kumpoteza Idd Amini ni story ndefu sana
Kwanza inaonyesha wewe ni mgalatia straight.. Ndy maana mapovu yanakutoka..pili hata km ulikaa mtoni na KISU CHA MKUNJO...haimaanishi kama ulijuwa kwann AMIN anapigwa.. kipindi hicho waliswagwa watu vijana ambao walifundishwa mafunzo tu ya mgambo..wakaingizwa kwenye malori wakapelekwa vitani..wengi walikufa kule kwa kukosa weledi wa kijeshi...pia kuwa na umri mkubwa haimaanishi ndy unajuwa kila kitu...elewa UMRI ni IDADI TU YA SIKU ulizokuwa UKISHANGAA SHANGAA TU duniani... Na umri hauhusiani na WELEDI WA KUJUWA VITU AU TAALUMA FULANI...tumeshuhudia wazee wengi tu wakiishia kutengeneza VIBATARI na huku vijana wadogo tu wakisukuma PANGABOI...hivyo suala la umri litoe..pia taarifa ninazokupa mm ni za kiintekijensia..mtu kama wewe ambaye uliyekuwa umepewa KISU badala ya BUNDUKI.. tena ukiwa VITANI..inaonyesha kwa jinsi gani hukuweza kuaminiwa...mlikuwa wengi msojWewe ulikuwa hujazaliwa. Mimi sihitaji kufuatilia kwa kuwa nimekwenda uganda kumfurusha. Nimeingilia mtukula tunatembea mitoni na visu mamba nje nje. Nimekaa juba mwaka mmoja nikarejea hapa.
Unataak kuleta mambo ya kike barazani pa wanaume? Huyo mungu wenu bila shaka tawapa thawabu kubwa sana kwa kujitwika kazi yake ya uwongo!.
Siwezi kusema mengi kwa kuwa niko kwenye kiapo. Lakini huo ujinga wenu ishia huko huko vibarazani.
Mijitu mingine inaleta hapa hadith iza kwenye vijiwe vya kahawa wakti wanaume tumepigana msitu mnene hadi kupoteza mapeki!
Waganda gani wamekuambia wanajuta kwa idi amini? Bila shaka weweni punguani na wote wanaokusupot ni wale wale wabeba majambia.