Je ni kweli jussa hana mke?

albuluushiy

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
1,404
Reaction score
686
Kutokana na siasa majitaka tunazozienyesha ccm tuna wakati mgumu sasa hivi kisiasa hata kijamii,na hii hali ya baadhi ya wajumbe wetu wa ccm ktk znz kutukana hadharani imetupotezea influence kabisa huku znz hasa kauli ya bi asha bakari dhidi ya jussa.
Ninapata wkt mgumu kuamini haya maneno
je ni kweli znz ni ya watu weusi tu?
Dr.salim hana haki znz sababu ni muarabu?
Je ni kweli jussa hana mke?
Naomba tujibu kistaarabu
ccm tubadilikeni
 
Hana mke kaka ila kwa maelezo zaidi maalim anaweza kukujulisha zaidi
 
Acheni kashfa nimeuliza kistaarabu nijibiwe kistaarabu
 
What's fuc****£€' mke

Tuulize anatumikia wananchi kwa moyo
 

Kwa taarifa yako Ismail Jussa Ladhu hana mke na wala hana mpango! Ni mliberali mzoefu ..hata zile taarifa za Kigogo serikalini ni shoga zilikua zikimlenga katibu mkuu wa chama chake kwakua naye ni wale wale! Vijana wengi wa Zanzibar wanaelewa tabia ovu ya Jussa na Katibu Mkuu wake!

CC: Gossipcopwarumi na habari zako za Instagram!
 
kwa mfano ujue kua ana mke itasaidia nini? ama hana inasaidia nini? uliza vitu vya msingi.
 

Ndio mkuu Super Handsome nimekuja
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…