albuluushiy
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 1,404
- 686
Kutokana na siasa majitaka tunazozienyesha ccm tuna wakati mgumu sasa hivi kisiasa hata kijamii,na hii hali ya baadhi ya wajumbe wetu wa ccm ktk znz kutukana hadharani imetupotezea influence kabisa huku znz hasa kauli ya bi asha bakari dhidi ya jussa.
Ninapata wkt mgumu kuamini haya maneno
je ni kweli znz ni ya watu weusi tu?
Dr.salim hana haki znz sababu ni muarabu?
Je ni kweli jussa hana mke?
Naomba tujibu kistaarabu
ccm tubadilikeni
Ninapata wkt mgumu kuamini haya maneno
je ni kweli znz ni ya watu weusi tu?
Dr.salim hana haki znz sababu ni muarabu?
Je ni kweli jussa hana mke?
Naomba tujibu kistaarabu
ccm tubadilikeni